Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

usiwe mtuwakujali sana utaumia roho bure.
kua kama mwenzako mahonda alimnanga x wake kuwa anagono nakuwananga wakewenza akina dep na linie kuwa wameambukizwa gono lakini sasa hivi amerejea kwahuyohuyo alietuaminisha anagono na hajali chochote wee ninani ujali kitukidogo hicho?

muige mahonda yeyé ni mbwaimbwaituu ugaigai haelewi atakaaje bushi wakati x wa mjini yupo😁amefosi kingi🤣🤣🤣🤣🤣

alichagua tall and dark handsome man jeda hela hana🤣🤣halafu kunakiandunje tuuu kinawachanganya namahela mahonda akaona isiwe kesi kwani kumsaliti mjeda sh ngapi😁
kwahiyo usijali sana mkuu hutafanikiwa kwenyemambo yako kamawenzio
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Nimecheka jmn
 

Attachments

  • IMG_20231227_180858_538.jpg
    IMG_20231227_180858_538.jpg
    543.6 KB · Views: 2
  • IMG_20231227_181009_699.jpg
    IMG_20231227_181009_699.jpg
    684.8 KB · Views: 3
Achana na watu wajinga wasiojielewa, very stupid indeed. Psychopaths ni wengi, wanahitaji tiba, aisee nilikasirika sana siku ile...nikataka kupasua hii tecno wereva yangu.
Kabisa Ankoli

Hivi si mwaka mpya wasabato huwa mnasherehekea eeeh?
Wanunulie akina Uncle keki ya new year?
 
Thanksgiving ni muhimu, ni lazima kushukuru. Utaandaa keki ya bei ya chini kuliko zote🤣🤣🤣
Uzuri wako Ankoli hunaga mbambamba.

Familia imepata baba mwema sana...sema nadhani sitakuwepo mjini kwahiyo mwwee oda ya Ankol inanipita.
 
Achana na watu wajinga wasiojielewa, very stupid indeed. Psychopaths ni wengi, wanahitaji tiba, aisee nilikasirika sana siku ile...nikataka kupasua hii tecno wereva yangu.
Uko serious hii dis ni mm umejibu!? Sema tuelewane old man
 
Back
Top Bottom