Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chungwa ndio nini?Wa chungwa?
Wakwetu ndio nini?Chungwa ndio nini?
Nitakuchapa unakichwa kigumu😊 wa nyumbani maana yake.Wakwetu ndio nini?
Nitakuchapa una kichwa kigumu☺️ana rangi ile tunayoipendaga maana yakeNitakuchapa unakichwa kigumu😊 wa nyumbani maana yake.
🤭🤭huyo dada yangu wewe katupia ki madam boss.Nitakuchapa una kichwa kigumu☺️ana rangi ile tunayoipendaga maana yake
🤭🤭huyo dada yangu wewe katupia ki madam boss.
😁😁😁😁 ila nimegundua wengi ni wadogo humu hata wale wenye I'd kongwe kumbe watoto tu😆😆Hata mimi ni dada yako
Aisee 🔥🔥🔥
Hata wakaka nao ni wadogo😁😁😁😁 ila nimegundua wengi ni wadogo humu hata wale wenye I'd kongwe kumbe watoto tu😆😆
Kwani naye ni Mndu wo' kanyi?Nitakuchapa unakichwa kigumu😊 wa nyumbani maana yake.
Otee ichu nyi mndu o nuka.Kwani naye ni Mndu wo' kanyi?
Ngoja nirudie kuangalia picha😀😀Kwakweli baraka nimepokea
Mbarikiwe sana ila@manyanza usimuamini sana kwenye wazuri Bado sana 😀😀
Sana yani hata ndevu bado changa mno😁😁Hata wakaka nao ni wadogo
Wifi naomba saa 😍
Manyanza hizo crocs za tandale mida ya saa 10 😹😹😹
Ahsante Wii wetuWifi naomba saa 😍
Umependeza mno toto la kichaga 😘😘
Manyanza km huyu ndio wewe basi Mashallah 🥰 🥰🥰🥰🥰