Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

Ukiona hivyo basi jua umeshaanza kuwa mtu muovu sasa unaona watu wema hawafai.

Imagine movie kama mtu amekwenda benki kuiba. Sasa ameshapiga kazi amefanikiwa then anatokea sterling anamharibia mchongo. Sasa wewe unakuwa upande wa mwizi wa benki.
Sterling pesa za benki zinamhusu nini? Ishu za kimbelembele tu.
 
Whiskey Cavalier hii series ipo vizuri..
A6109284-140D-464B-AC97-39F134516404.png

7CE11387-A1AA-42BA-A9DD-771D7C7031ED.png
 
Horror and thriller movies zinavyomalizwa utadhani kutakuwa na part two kumbe ndo imetoka hvy 😂 lazima wakuache na hamu ya kujua nn kitaendelea
Nimekumbuka movie ya zamani ya Chuck Norris, lile adui kila likiuliwa linafufuka tena mwishoni likaanguka kwenye kisima kirefu ghafla tukaona kaibuka na movie ndio inaisha ila jamaa hajafa.
 
GOT siupenda kabisaa WHITE WALKERS KUFAA.
 
Kuna muvi stering alipogwaa mpaka watazamaji tukavunja Tv kumsaidiaa aiseee achana kabisaa na Mtu anaitwaa billblankx, boroyank hawa jamaa ukiwawekea stering wa kiboya wnauwaa aiseeeeee
 
Brothers hii tamthilia niliishindwa kuimaliza baada ya kuona kila mision maadui wanafeli.
 
Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.

Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.

Hii movie nilitamani Majors Ashinde. Movie gani ulitamani adui ashinde?

View attachment 2605209
Hii
Screenshots_2023-06-07-10-38-21.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndo mana napenda horror movies, hizo movie hata mtu mwema akishinda bado mwisho wa movie utaachwa mdomo wazi kuona adui bado wameshindwa kumdhibiti
Movie ya saw, mirror , the NUN ,the exorcist hizi zote zinaakisi ukichokisema
 
Horror and thriller movies zinavyomalizwa utadhani kutakuwa na part two kumbe ndo imetoka hvy [emoji23] lazima wakuache na hamu ya kujua nn kitaendelea
Huwa inakera [emoji28]
 
Mm ndo napenda ili ubaki na hamu ya kutaka kujua kinachofuata
Surely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoni
saw-2004-ml.jpg
 
Surely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoni View attachment 2674320
Japo movie ya saw inaisha kwenye mazingira tatanishi. Itabaki kuwa Moja ya movie Bora ya kutisha kuwahi kuchezwa
 
Surely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoni View attachment 2674320
Kuna movie moja niliitazama kitambo sana na jina nimelisahau japo naitafuta tena."Movie inaanza kuna dogo anaonekana kuishi na mdudu kwenye kichwa,yaani mdudu anatokeza kwenye paji la uso na kisha anarudi ndani.
Story inaanza vijana kadhaa wanaingia matembezini kufanya utalii nje ya mji.Wanafika sehemu wanakutana na DUBU mweupe amekufa na baadhi yao wanapiga picha naye.Baadae inajulikana kumbe yule DUBU alipandikizwa virus fulani hivi ambavyo vinaingia mwilini kwa njia ya mguso.Aisee!Mara kijana mmoja anaonekana kujikuna mkononi na inatokea kama kipele hivi na kadiri muda unavyokwenda anazidi kuoza----.Baadae black mmoja anagundulika na yeye kuwa ameathirika na hivyo virus,jamaa wanaona njia pekee ya kumtibu ni kumkata mkono kwa kuondoa ile sehemu ambayo tayari imeweka kipele,walibugi aisee!.Katika lile jeraha la Niga,walijipanga wadudu kulizunguka lote!.

Mkuu!Kama ulishawahi kuiona hii movie,nisaidie jina lake naitafuta sana.
 
Back
Top Bottom