Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

Umewahi angalia movie na kutamani "Adui" ashinde?

Japo movie ya saw inaisha kwenye mazingira tatanishi. Itabaki kuwa Moja ya movie Bora ya kutisha kuwahi kuchezwa

Franchise ya movie za saw saiv zinaanza zingua zile za mwanzo ni kiboko
 
Ni Game of Thrones pekee ndio sterling hua anakufaga. Unaweza acha kuangalia kabisa maana mastar kila muda wanakufa.

Anime ya Attack on Titan kila inavyozidi kwenda mbele sterling anageuka kua adui na maadui wanakua sterling. Na ukisikiliza hoja zao ubawaunga mkono kabisa😅
Main character wa series bwana Eren Yeager hajulikani ni sterling au adui. Yeye anachotaks ni freedom
Me nilianza na john snow mwanzo mwisho
 
Siku hz siwapendi Wamarekani. Kila movie ya wamarekani napenda adui ashinde....Mbona nateseka maana movies ni nyingi balaa!
 
Nimekumbuka movie ya zamani ya Chuck Norris, lile adui kila likiuliwa linafufuka tena mwishoni likaanguka kwenye kisima kirefu ghafla tukaona kaibuka na movie ndio inaisha ila jamaa hajafa.
Aisee kitambo sana
 
Back
Top Bottom