Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
- Thread starter
-
- #21
Sterling pesa za benki zinamhusu nini? Ishu za kimbelembele tu.Ukiona hivyo basi jua umeshaanza kuwa mtu muovu sasa unaona watu wema hawafai.
Imagine movie kama mtu amekwenda benki kuiba. Sasa ameshapiga kazi amefanikiwa then anatokea sterling anamharibia mchongo. Sasa wewe unakuwa upande wa mwizi wa benki.
Inakuwa ya kitoto sanaBlacklist aisee yule jamaa Red kila plan linafaulu tu Hadi series inaboa
Nimekumbuka movie ya zamani ya Chuck Norris, lile adui kila likiuliwa linafufuka tena mwishoni likaanguka kwenye kisima kirefu ghafla tukaona kaibuka na movie ndio inaisha ila jamaa hajafa.Horror and thriller movies zinavyomalizwa utadhani kutakuwa na part two kumbe ndo imetoka hvy 😂 lazima wakuache na hamu ya kujua nn kitaendelea
Prey for the devil doooh,lile limuvi ni noma na nusuMimi ndo mana napenda horror movies, hizo movie hata mtu mwema akishinda bado mwisho wa movie utaachwa mdomo wazi kuona adui bado wameshindwa kumdhibiti
HiiHabari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie nilitamani Majors Ashinde. Movie gani ulitamani adui ashinde?
View attachment 2605209
Movie ya saw, mirror , the NUN ,the exorcist hizi zote zinaakisi ukichokisemaMimi ndo mana napenda horror movies, hizo movie hata mtu mwema akishinda bado mwisho wa movie utaachwa mdomo wazi kuona adui bado wameshindwa kumdhibiti
Huwa inakera [emoji28]Horror and thriller movies zinavyomalizwa utadhani kutakuwa na part two kumbe ndo imetoka hvy [emoji23] lazima wakuache na hamu ya kujua nn kitaendelea
Mm ndo napenda ili ubaki na hamu ya kutaka kujua kinachofuataHuwa inakera [emoji28]
Surely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoniMm ndo napenda ili ubaki na hamu ya kutaka kujua kinachofuata
Japo movie ya saw inaisha kwenye mazingira tatanishi. Itabaki kuwa Moja ya movie Bora ya kutisha kuwahi kuchezwaSurely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoni View attachment 2674320
Kwangu mimi THE WRONG TURN ndiyo the best.Japo movie ya saw inaisha kwenye mazingira tatanishi. Itabaki kuwa Moja ya movie Bora ya kutisha kuwahi kuchezwa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna muvi stering alipogwaa mpaka watazamaji tukavunja Tv kumsaidiaa aiseee achana kabisaa na Mtu anaitwaa billblankx, boroyank hawa jamaa ukiwawekea stering wa kiboya wnauwaa aiseeeeee
Kuna movie moja niliitazama kitambo sana na jina nimelisahau japo naitafuta tena."Movie inaanza kuna dogo anaonekana kuishi na mdudu kwenye kichwa,yaani mdudu anatokeza kwenye paji la uso na kisha anarudi ndani.Surely ila the way zinavyoisha yaani ndio Huwa inakata stimu yaani ... Kwa mfano ile movie ya saw Kuna majamaa wawili wemefungwa pingu kwenye jumba Fulani hivi kama choo . Wanapewa maelekezo kupitia spiker za ukutani na mtu wasiemjua jinsi ya kujiokoa hapo walipo , halafu pembeni Yao Kuna mtu aliyekufa ila wakawa hawampi attention . Kumbe huyo aliyeonekana kafa kaja kuwa mzima dakika za mwisho na ndiye mastermind aliyewaweka hao jamaa matatizoni View attachment 2674320