Ni Game of Thrones pekee ndio sterling hua anakufaga. Unaweza acha kuangalia kabisa maana mastar kila muda wanakufa.
Anime ya Attack on Titan kila inavyozidi kwenda mbele sterling anageuka kua adui na maadui wanakua sterling. Na ukisikiliza hoja zao ubawaunga mkono kabisa😅
Main character wa series bwana Eren Yeager hajulikani ni sterling au adui. Yeye anachotaks ni freedom