Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea

Ni kweli lakini hakuna namna.Maana kuna wengine kumpa tendo mume ni changamoto,sasa cha kufia nn mtoto wa watu? Mwache akale kungine apone njaa.We are in the world,so no way out Kamanda
There's a way out badae nitakuja kuendelea
 
Avha utani 30 wachach ? Yani wanaume 30 ni wachach hahaha....kwaiyo namba inasoma vivuli vingapi sema ?
Kuna mwanamke alifanya kaz ya ukahaba kujikimu kimaisha,bahati nzuri au mbaya akadaka mimba akazaa,akaona mtoto atamchelewesha kwenye mambo yake akaamua amtupe.Wasamari wakaokota na kulea.Mtoto alipozaliwa alikuwa alama kubwa nyeusi mgongoni.
Siku zikaenda mama anaendelea na kaz yake, akapata danga la maana lenye pesa zake wamemaliza mambo yao kijana anageuka avae nguo si ndo mama anaona ile alama yaliyokuwa Mayo mwanae aliyetupa,kumuuliza kijana wewe ni nani ulizaliwa wapi ukoo wako,baba ako.Kijana kamjibu mi sina historia ya kuwa na ndugu nimelelewa na watu baki ambao nao waliniokota sehemu fulani.Wakaagana jamaa akasepa,asijue huku nyuma mama yule nusura ajinyonge Analia na kusaga meno baada ya kugundua amelala na mwanae wa kumzaa.Siku zikaenda Mungu nae alivyomjaalia kizazi mama wa watu kumbe kadaka mimba ya yule mwanae.Mama alijiona amelaaniwa kuliko wanawake wote,akatamani kufa..akamlilia Mungu afanye nn...ila akuthubutu kumwambia mtu yanayomsibu yaan ilikuwa ni siri ya yeye na Mungu wake.Mwisho wa siku akashindwa akaamua akaungame kwa mchungaji na kumwomba mchungaji aongee na Mungu wake kimaono kama dhambi aliyotenda je anaweza samehewa.Mchungaji baada ya kusimuliwa akaamua nae amlilie Mungu juu ya mama yule.Usiku akiwa amelala mchungaji akajiwa na ndoto,sauti ya Mungu ikimwambia kamwambie mtumishi wangu nilishamsamehe tangu sikuile aliponililia na kutubu akiwa kajifungia ndani pekeyake sasa kwa kuwa kaitoa siri ya dhambi yake msamaha hakuna tena.
Nimeandika ivi nikimaanisha nn? Ukiona umetenda dhambi iliyochafu mbele ya Mungu na wanadamu iweke iwe siri yako wewe na Mungu wako ...kuitoa kinywani ni Machukizo mbele ya Mungu wako.Hapendi mtu asiye msiri.
 
Nimependa kauli ya Mungu eti msamaha hakuna tena, kauli ya kibabe kweli kweli
 
Simaanishi watu wawe na wapenzi wengi. Ila ulichoandika ni uongo.
Why mtu abebe maroho machafu tu na sio baraka za mtu?
.
.
Kuna watu wazinzi balaa na mambo yao yapo super kila idara, unataka kusema hajawahi kutana na mwenye maroho machafu?
 
Simaanishi watu wawe na wapenzi wengi. Ila ulichoandika ni uongo.
Why mtu abebe maroho machafu tu na sio baraka za mtu?
.
.
Kuna watu wazinzi balaa na mambo yao yapo super kila idara, unataka kusema hajawahi kutana na mwenye maroho machafu?
Naomba nikujibu kwa kifupi sana maana hujaonesha kutaka kupata maarifa juu ya Topic bali umeshutumu moja kwa moja kuwa ni uongo ila siku moja madamu andiko hili umelisoma utakuja kukumbuka.
Elewa kwamba Mambo ya Nuruni hayo yatokayo kwa Mungu huja kwa njia safi.
Halafu kipim cha mtu mambo yake kua safi sio vile unamuona ana pesa au ana majumba na anabadili magari, anakula anachotaka na kumiliki vitu vya thamani basi ukaona huyo mambo yake safi, nikuibie siri tu kuna watu wengi kwa nje wanaonekana safi ila ndani ya mioyo yao wanatamani wangezaliwa upya au wangerudisha dunia nyuma ili wasiingie hapo walipo sasa, kuna kina dada wanafanya kazi za umalaya wanaingiliwa kote kwa kuwaangalia wanaonekana wanapesa na wanakula bata kila viwanja ila ukipata bahati ya kumchunguza vizur utaelewa maumivu anayopata kwa kutembea amevaa Pampers au kwa kutokushindwa kubana misuri yake ya mlango wake,
Na kuna wengine wanaishi maisha safi tu na wana amani ila maisha yao badae wanakufa vifo vya aibu au wanaishia pabaya biblia inasema kitabu cha
Mithali 14:12
"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti"

Kumilikiwa na shetani sio lazima upigike na uishi maisha ya tabu, kwa sasa unaweza ukawa tajiri, msomi, una ushawishi katika jamii, lakini huko badae maisha yako au umilele wako ni wa majuto na kilio.

Kifupi kuna watu wanakua hawana mambo ya kishetani na hawana mambo ya ki Mungu hawa wanakua wanamilikiwa na Roho ya Dunia ambayo kazi yake ni kupenda ya Dunia na kutimiza mambo ya dunia na tamaa zake, watapata mambo yote ya dunia kadri watakavyojibidisha na starehe watafanya haswa ila tu Ufalme wa Mungu watausikia kwa jirani.
 
Simaanishi watu wawe na wapenzi wengi. Ila ulichoandika ni uongo.
Why mtu abebe maroho machafu tu na sio baraka za mtu?
.
.
Kuna watu wazinzi balaa na mambo yao yapo super kila idara, unataka kusema hajawahi kutana na mwenye maroho machafu?
Maisha ya kiroho ni matatifu sana kwa wale wamwabuduo M ungu wa kweli, kuwa na maisha super siyo kigezo cha mtu mcha Mungu, kumbuka pia siyo kigezo cha kuingia mbinguni na pia shetani ana mamlaka ya kumfanikisha mtu ktk maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa
 

We muongo bana ah!!
 
Ukweli katika tendo la ngono, wahusika hubeba mabaya tu kutoka kwa mwenzake na sio mazuri.Chukua tahadhari kubwa katika maisha yako usithubutu kuoa mwanamke au mwanaume ambaye alishaoa au ana watoto hiyo ndoa itakuwa ngumu na chungu hujawahi ona. Uzinzi na uasherati ni kiini cha matatizo mengi katika ndoa, familia na jamii kwa ujumla wake.

Kama ulishawahi kuwa na mahusiano kabla ya ndoa na unataka kuingia katika ndoa, fanya toba kwa Imani kabla ya kutafuta mwenza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…