Umewahi fanya tendo la ndoa na watu zaidi ya watatu? Hiki ndicho kinakuotea


Umewahi kusikia habari za kuwepo wanawake wenye 'kismati', yaani ukiwa naye unashangaa mambo yako yanaenda poa tu hata akikuomba hela ukampatia unashtukia hiyo wiki unapata michongo ya hela.

Kitu nmepishana na mtoa mada ni hapo kwa kuchukua na mambo ya upande wa pili yaani ya mume au mke.
 
Mwanamke yeyote ambaye sio mzinifu uwezekano wa kuwa na kismati upo. Naruhusu kukosolewa
 
Mwanamke yeyote ambaye sio mzinifu uwezekano wa kuwa na kismati upo. Naruhusu kukosolewa

Inawezekana Mkuu japo kwa uzoefu wangu kuna

- wanawake wenye kismati/bahati
-wanawake wa kawaida
-wanawake wenye nuksi

Hawa wenye vismati huwa wanakuja kama bahati tu unajikuta upo naye ila ukisema utafute mwanamke mwenye kismati huwezi mpata.

Na hichi kismati hakiwi kwa kila mtu, anaweza kuwa nuksi kwako ila kwangu akawa wa kawaida ten kwa mtu mwingine akawa kismati.

Nadhani mwanaume ana mchango kwenye hili pia.
 
Nikweli watu wa namna hiyo wapo na ukiwa nae mtu wa namna hiyo hauchukui kismart chake cha mvuto wa biashara au mafanikio bali yeye anafanyika mbole kwako kurutubisha yale mfanyayo siku ukiachana nae na mambo yanaishia hapo, kama vile Yusufu kila sehemu alipokua kwa farao mpaka Gerezani palinehemeka. Hivyo kifupi tu huwezi kulithi kismart kisa umetembea na mwenye kismart.
 
Umenena vema mkuu, mechanism ya sex ukweli wake ni mgumu sana kukubaliana nao. Ila maisha yetu yanaongozwa na ulimwengu wa kiroho ambao wengi hatuchukui muda kuutambua ili kuulinda vema kwa nia ya kujenga maisha ya kawaida ulimwengu wa nyama.
 
Kuna baadhi ya watu wameomba sana nifafanue juu ya namna ya kujinasua sasa kwavile siwezi kujibu kwa mmoja mmoja kule private wacha nijaribu kufafanya kidogo.
NINI CHA KUFANYA IKIWA NI MUHANGA KABLA AU BAADA YA NDOA?
Kuna mambo mawili
i. Ukishafika hatua ya uchumba na kuwa tayari kuoana na huyo mwenzako ambianeni kuhusu historia zenu za zamani ili kulinda badae asije akaanza kusikia mitaani au kwa watu wengine juu ya mambo yako ya nyuma ikamtisha kuendelea au kama tayari mpo kwenye ndoa itakupunguzia value aone kumbe kuna mambo mengi unaweza ukawa umemficha na ulifanya huko nyuma.

ii. Chukueni hatua nyote wawili kwa pamoja wewe na mpenzi wako hasa kwa watu wa dini ya kikristo nendeni kwa Kiongozi wa kiroho mwambieni mpo tayari kuwa pamoja ila hapo zamani kuna mambo ya ujana mengi mlifanya kila mtu kaa watu wake hivyo awaongoze maombi ya kuvunja na kukemea hizo roho zote mlizojiungamanisha nazo hakikisha unafanya kwa dhati.

Kuna wengine sio rahisi kuongea na mwenzake au kumshawishi wafanye hivyo kwa pamoja basi wewe binafsi pata muda wa kuomba na kufunga ikibidi ili kujitoa kwenye maagano hayo uliyoingia maana kuunganisha via vyenu ulijiunga nao.


ANGALIZO
Usije kutumia udhaifu wa mwenzako baada ya kukuelezea mambo yake ya nyuma ikawa ndio fimbo ya kumchapia kila akikosea au akifanya jambo flani unamkumbushia hayo.
 
Naomba nikujibu kwa kifupi sana maana hujaonesha kutaka kupata maarifa juu ya Topic bali umeshutumu moja kwa moja kuwa ni uongo ila siku moja
Tatizo sio ssi kaka mkubwa unaweza ukalenga kuwa na mtu mmoja alafu yeye akashidwa kukuvumilia labda kiuchumi au kwakutamanishwa na wengine ko anapo ondoka na kukuacha kwenye maumivu nawewe ukawa bado una muhitaji

ATA akija mwingine uwezi kutulia naye kwasababu unakuwa na wasiwasi wa kubaki peke ako akaondoka na kukuacha Kama aliye mtangulia na hivyo Ni ngum kwa ssi wanaume kubaki na kichupa kwa muda mrefu maana

ATA kisayans wanashaur kujigij Mara kwa Mara ili akili ikae sawa na mwili kiujumla just imagine Ile filling unakuwa nayo after sex alafu umwambie mwamba atulie kweli akat mmi na ubahili wangu niliacha ku mwezi nachafua boxer asa kweli ndugu yangu me naweza vumilia sjapinga uliyo andika Ila tuombee tu tumshinde shetan
Ameeeeee inshallah MUNGU atusaidie wote tufanye mema
 
Hahaha..πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ Sawa maelezo yako ni sawa na yamenifanya nifurahi ki uhalisia ulichoelezea ni sawa kabisa na ndio kitu kinachoendelea mtaani, ila sasa hapa tumepata mbivu na mbichi tuamue wenyewe yani ukiwa unafanya au ukaona upo kwenye ndoa afu vitu flani huvielewi elewi kumbuka hii kitu pia
 

Sex ni mind na sio basic needs
 
Haya mambo ni magumu no body has it all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…