Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

Gepard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2021
Posts
291
Reaction score
385
Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute.

Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka moyoni, Kuna kipindi aliumwa nikatumia kama fursa ya kumjali zaid, kumpelekea matunda na zawadi. hata alipopona aliona mimi n mtu mzur hivyo hakuona tatzo tena mm kumtembelea mana kabla hakutaka.

Nakumbuka kagiza kakianza kuingia namwambia niende anione sina tamaa😀. Akanizoea, sokoni w end ananambia nimsindikiza tunapanda gar kwenda manunuzi ya jumla mzigo nabeba Mimi. Wivu ukaanza kujijenga hataki niwe busy na simu nkiwa kwake, pole pole akaanza kuwa ananitafuta.

Nkamtongoza akakataa😂. Mara akaanza kuingilia ratiba zangu za mpira siku ya mechi nayopenda ananambia niende kwake. Nkienda kwake siruhusiwi hata kumsogelea. Siku npo kwake Mara mvua kubwa utani utani wazo la kulala kwake, mara asubh tyar😀.

Akanambia usirud tena kwangu, na malamishi kibao tulipitia mengi hadi official relationship. baada ya Kuzoeana wthn 2years dini ikaanza ku outweigh mahusiano yetu. siku kaniita kwake hisia tukaweka kando tukatumia busara kuangalia future ya mahusiano yetu ndipo tukaona tufikie mwisho.

Kwa faida yetu akanambia nimblock na yeye akaniblock, tukalalaa pamoja mara ya mwsho, after one week nka muanblock kumchek anapatikanaa na tukaongea😂 basi baada ya kumaliza Chuo tukabaki friends tu.
 
😅 sure nimeshawahi!

huwa saa zingine binti anakua anapima pande ipi imenoga zaidi ndio atulie. nilivyo jua kuwa sipo mwenyewe, nilimwambia siwezi kuingilia mahusiano yake (bado hatuku !@#) ni kakaa pembeni. ila yeye anataka urafiki leo mimi sitaki na siamini katika urafiki! ila nina amini katika urafiki wenye faida (ili mradi tu mimi pekee niwepo kwenye picha na hua na nusia kama kuna mtu mwingine)!
 
[emoji28] sure nimeshawahi!

Very true mkuu [emoji109]
 
Naona hicho chuo ulichokuwa unasoma ni cha madrassa
 
Naona hicho chuo ulichokuwa unasoma ni cha madrassa
'
JamiiForums-1851747025.jpg
 
Back
Top Bottom