Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

Umewahi kuachana na mtu kwa uzuri?

uyu anaonekana mzee wa chai, chai baada ya chai
2016- 2021 au sababu nimeweka thread 3 withn a short time, ndio Inaonekana Kama fictions. Kule kwa wameru ni 5 days mchezo uliisha na fimbo nkachezea, zinabaki siku 360 kwenye mwaka . Unataka niweke tukio moja nikae mwaka niweke lingne mkuu ndio ujue n ukweli😂
 
2016- 2021 au sababu nimeweka thread 3 withn a short time, ndio Inaonekana Kama fictions. Kule kwa wameru ni 5 days mchezo uliisha na fimbo nkachezea, zinabaki siku 360 kwenye mwaka . Unataka niweke tukio moja nikae mwaka niweke lingne mkuu ndio ujue n ukweli😂
...thermos itasaidia
 
Bila shaka utakuwa Babu very charming.

Mpaka unazeeka full matukio.

Stay safe though.
Hhhhhhh, ila ni ujana tu boss 😊ambao ni ujinga ntakuja kujua baadae. Stay safe too.
 
Kweli boss icho kitu kipo Sanaa, nmependa msimamo wako katika hilo, kwaio hata urafiki nae saivi hautaki tenaa?
hapana mkuu, sihitaji urafiki kabisa.

kwenye urafiki ndio muda hupotezwa sana na ndio wakati watu wana invest feelings zao.

bahati mbaya, mmoja hua ana feelings feki na pale mtu akishajua wapi atulie, maumivu yamkuta yule mwenye feelings za ukweli!

honesty saves time (and money 😅 )
 
hapana mkuu, sihitaji urafiki kabisa.

kwenye urafiki ndio muda hupotezwa sana na ndio wakati watu wana invest feelings zao.

bahati mbaya, mmoja hua ana feelings feki na pale mtu akishajua wapi atulie, maumivu yamkuta yule mwenye feelings za ukweli!

honesty saves time (and money 😅 )
😄😄 Well said mkuu, umeongea busara. Nmejifunza kitu. Stay blessed
 
Mimi imenitokea, mwaka 2017 npo chuo, Nlitokea kumpenda binti wa kiislamu,nlitengeneza mazingira ya urafiki, ila wa upande mmoja yani mm ndio nimtafute.

Nlimjali Sanaa ili kuongeza urafiki tu kwa kumpigia simu ila Mara nyingi hapokei, text hajibu kwa wakati iliniuma ila nlimpenda kutoka moyoni, Kuna kipindi aliumwa nikatumia kama fursa ya kumjali zaid, kumpelekea matunda na zawadi. hata alipopona aliona mimi n mtu mzur hivyo hakuona tatzo tena mm kumtembelea mana kabla hakutaka.

Nakumbuka kagiza kakianza kuingia namwambia niende anione sina tamaa[emoji3]. Akanizoea, sokoni w end ananambia nimsindikiza tunapanda gar kwenda manunuzi ya jumla mzigo nabeba Mimi. Wivu ukaanza kujijenga hataki niwe busy na simu nkiwa kwake, pole pole akaanza kuwa ananitafuta.

Nkamtongoza akakataa[emoji23]. Mara akaanza kuingilia ratiba zangu za mpira siku ya mechi nayopenda ananambia niende kwake. Nkienda kwake siruhusiwi hata kumsogelea. Siku npo kwake Mara mvua kubwa utani utani wazo la kulala kwake, mara asubh tyar[emoji3].

Akanambia usirud tena kwangu, na malamishi kibao tulipitia mengi hadi official relationship. baada ya Kuzoeana wthn 2years dini ikaanza ku outweigh mahusiano yetu. siku kaniita kwake hisia tukaweka kando tukatumia busara kuangalia future ya mahusiano yetu ndipo tukaona tufikie mwisho.

Kwa faida yetu akanambia nimblock na yeye akaniblock, tukalalaa pamoja mara ya mwsho, after one week nka muanblock kumchek anapatikanaa na tukaongea[emoji23] basi baada ya kumaliza Chuo tukabaki friends tu.
Mimi huwa nikiachana kwa wema mwisho wa siku tunaishia kukulana tu
 
Back
Top Bottom