Umewahi kuchezea block toka kwa mpenzi wako? (Ushuhuda)

Nilishawahi kuchezea wakati namseti nimtongoze, hiyo ni baada ya kuchukua namba kwa mtu. Sasa zile text za awali akajibu fresh whatsapp, ila ghafla nashtuka nimechezea tofali la zege.

Nilipokuja kumcheki kwenye sms za kawaida nikamchana live kwa alichokifanya block aliiondoa na baadaye nilikuja kumpata akawa wangu.
 
Full drama
Muhimu ulimpata mkuu

Sipati picha ulivyokamia game siku ya kwanza alivyokupa
 
Back
Top Bottom