Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Unapiga mishee gani saa hii ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi uko vizuri kwasababu huyo uliyesema japo ni movie ila akili, utata na maarifa ni mengi mno.2018..border mokambo Border ya DRC na Zambia...nilifanya kitu...kama movie za jason bourne..Nashukuru Mungu niliingia na kutoka salama
Hahahahahaha..huyo mie ndio namuelewaga...hilo tukio ilibidi ni play kama yeye ..yalikuwa masaa kama 2 au 3 hivi ya mtafutanoBasi uko vizuri kwasababu huyo uliyesema japo ni movie ila akili, utata na maarifa ni mengi mno.
Nilikuwa nafundisha shule moja katika halmashauri moja nchini ina mazingira magumu balaa. Nilikuwa nakaa kijiji cha pili na kulazimika kuvuka mito yenye mamba na viboko wengi. Ningepoteza maisha waajiri wangu wangesema ni uzembe nimetaka mwenyewe kutokukaa shuleni.
Pande za mwanza nyegezi corner mtaa wa swila, kuna siku tuko kwa mtanga ubalozini aisee walitokea mapoti from nowhere watu tulitawanyika kama upepo kuna milima na mawe makubwa ndo siku nilipanda jiwe bila kupenda dadeki jiwe la mwisho lilikua kubwa almanusura linishinde mana mixer pumzi kukata na naona hapa nikteleza naumia vbaya au kifo nyuma naona mapoti na nyungu wanaongezeka, real fvckn movie!
Mkuu mbona ishushwe nusu mlingoti? Au walikutatua marinda?Nikiwaletea nliyoyapitia mtashangaaa sana bendera itashushwa nusu mlingoti...ile ilikua dhiki kuu
ndio apo mkuu nilijua mmi ni time traveller au mambo ya deja Vu kumbe mwamba anataka kutupigaHii mbona story ya humuhumu tu jf na ni ya muda wewe umeiba hii..