Hapo uliliwa mkuu pole sana
Mi nisingerudi. Lol
Hahahahahaha! Uwiii Bishanga njoo unipepee manake nakaribia kuzimia!SL njoo ushuhudie visanga vya mmeo,fanya haraka kabla hajadelete!
Tobaaaaaaa!..mimi alishakuja getto nikasonga ugali akajifanya ugali haupandi nimnunulie chipsi si unajua masista duu nikaufinya peke yangu, nikamwambia hela niliyonayo haitoshi chips.
Akaniomba nauli nikampa 500 alikaa wiki moja hajanipigia simu na mimi nikamkaushia akaona nini sijui akaamua kwenda hewani. Siku nyingine akarudi getto tukapeana mambo
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!Mie niliwahi kumfanyia ukauzu shoree mmoja! Tulisafiri wote toka arusha kuja dar, siku hiyo nilikuwa njema sana nikawa na vikopo vyangu katoni nagonga kiaina wakati wa safari ndani ya dar express. Katika maongezi binti tukabadilishana namba. Baada ya siku tatu demu tukakubaliana tukutane rose garden, lahaula akaibuka na mwenzie, anakunywa pombe kama maji, niliona hapa watanizidi mfukoni nina hela za kutosha ila sikupanga kuhudumia mangurupembe kama yule asha ngedere aliekuja nae. Nilichofanya ili wasinifilisi, NIKAONGEZA HUDUMA YA POMBE NIKAWA NAZIMWAGA MBILI MBILI THEN NIKAPUNGUZA HUDUMA YA CHAKULA, NIKAAGIZA NUSU KUKU, NDIZI MOJA HALAFU TUKASHEA WOTE. Uroho ukawaisha na ishu nikaondoka nayo lile ngurupembe nikamuunganisha msela wangu alikuwa pale akasepa nalo namie huyoooo nikajisunda kimiani. Then kuanzia siku hiyo nikajua demu ni mlupo so huwa kila akipiga namuambia nipo arusha ila nikiwa na hamu nae nampigia najifanya ndo nimekuja dar! Looools!
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!
Tobaaaaaaa!..
Toka siku hiyo sijawahi kumwona tena.kipochi manyoya ulifunua?
Mie niliwahi kumfanyia ukauzu shoree mmoja! Tulisafiri wote toka arusha kuja dar, siku hiyo nilikuwa njema sana nikawa na vikopo vyangu katoni nagonga kiaina wakati wa safari ndani ya dar express. Katika maongezi binti tukabadilishana namba. Baada ya siku tatu demu tukakubaliana tukutane rose garden, lahaula akaibuka na mwenzie, anakunywa pombe kama maji, niliona hapa watanizidi mfukoni nina hela za kutosha ila sikupanga kuhudumia mangurupembe kama yule asha ngedere aliekuja nae. Nilichofanya ili wasinifilisi, NIKAONGEZA HUDUMA YA POMBE NIKAWA NAZIMWAGA MBILI MBILI THEN NIKAPUNGUZA HUDUMA YA CHAKULA, NIKAAGIZA NUSU KUKU, NDIZI MOJA HALAFU TUKASHEA WOTE. Uroho ukawaisha na ishu nikaondoka nayo lile ngurupembe nikamuunganisha msela wangu alikuwa pale akasepa nalo namie huyoooo nikajisunda kimiani. Then kuanzia siku hiyo nikajua demu ni mlupo so huwa kila akipiga namuambia nipo arusha ila nikiwa na hamu nae nampigia najifanya ndo nimekuja dar! Looools!
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!
afu unajiona mjanjaaa?!..ukimwi unakujaga kwa style hiyohiyo

mimi na msela wangu,tulifika club tukakutana na mashori wawili tukanywesha,ilipofika mda wa kwenda kupanjuka wakatupeleka guest ambayo wamezoeleka,kufika wakaanza kutupiga mkwara eti wao ni ma afande tuwambie sisi ni wa wapi na tunafanya kazi gani. Tukawapoza na maneno matamu tukaigia room double beds.wakagoma kutoa mchezo eti tulale kwanza,walipopitiwa na usingizi wa pombe, tukajichukulia simu zao nne, ki ipod.na kusepa nazo.tukapanda magari ya kuja sirari border hii ilitokea kisii kenya.true story.cheza na mtz wewe.
afu unajiona mjanjaaa?!..ukimwi unakujaga kwa style hiyohiyo
sasa hapo kuna ukauzu gani ulio ufanya,maana kama ni kuliwa umeliwa?
Story yako inafanana yangu. Tofauti ni kuwa yeye ndo alinita bar anayoijua nikamkuta na rafikiye. Nikaagiza kama kichaa. Mtoto alikuwa anamimina heinneken kama maji. Nilipoamka kwenda toilet nikazima twangapepeta yangu, nikapotea... Ile bili sijui alilipaje, atajijua. ila kama ni matusi kwa sms niliyakoga!
acha nitulie tu
maana kichowahi nipata ni aibu to the nth degree
lakini maisha yanasonga, ujana maji ya moto kwa kweli.
Na ndio maana wazee wana ya kusimulia mengi lol
keeping it real is the best!