Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa aisee nimezaliwa na kukulia kigoma ila manyovu nimeenda mara moja tu tena mwaka huu june. Kasulu ndio sijawahi hata kupaona pako vipii
Kigoma mjini au ipi?, pale mjini mgahawa wa Stanley bado upo? Zanzibar hotel /lodge nayo bado ipo?Hahaa aisee nimezaliwa na kukulia kigoma ila manyovu nimeenda mara moja tu tena mwaka huu june. Kasulu ndio sijawahi hata kupaona pako vipii
Kigoma mjini hapa..Kigoma mjini au ipi?, pale mjini mgahawa wa Stanley bado upo? Zanzibar hotel /lodge nayo bado ipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka ya 2000 hz ndizo zilikua kubwa kwa kigoma, kubwa kubwa km zipi? Nimekaa kilima hewa kule juuKigoma mjini hapa..
Ukiniuliza kuhusu hitel na lodge itakua ngumu coz sipo interested na kujirusha na sijawahi. Nazisikia tu zile kubwa kubwa
Muongooooo
Sawa kiongozi
Mkuu miaka ya nyuma kigoma ilikua ni shida ,main road moja tuMuongooooo
Kweli kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]rabda kwenda kuroga maana jana nimetoka tanga naona jirani bado anazingua
Mbona hadi leo main road ni moja. Kutokana na jiografi hairuhusu kua na barabara nyingiMkuu miaka ya nyuma kigoma ilikua ni shida ,main road moja tu Kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hadi leo main road ni moja. Kutokana na jiografi hairuhusu kua na barabara nyingiMkuu miaka ya nyuma kigoma ilikua ni shida ,main road moja tu Kweli kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiasi chake sema bado changamoto nyingi kila sekta..
Wewe unajua sidanganyi. Nina miaka mitatu lakini sijafika huko inawezekana limepunguaMuongooooo
Oooh,ila Mkuu unaitetea kigoma, kigoma ya miaka niliyofika mm,mkuu wa mkoa Mzee Mgumia ( nadhani) ilikua ni hovyo ,OK tuache hayo ,nikutakie siku njema kijanaMbona hadi leo main road ni moja. Kutokana na jiografi hairuhusu kua na barabara nyingi