Umewahi kufika Kigoma?

Umewahi kufika Kigoma?

Wasioufahamu Mkoa wa Kigoma: Kigoma mjini haina vumbi jekundu kama mfikiriavyo isipokuwa wilaya zake (Kasulu, Kibondo, Buhigwe, Kakonko na Uvinza)
Kigoma mjini angalau ina barabara nyingi za mtaani za kiwango cha Lami.
Kigoma mjini ina mchanganyiko wa makabila mengi mno ya nchi hii pamoja na Wasomali, Waarabu na Wahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom