Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

MWANZA-Home town
GEITA-Baskel mjini ndy kelo kuu
KAGERA-Pako vizuri na pisi zao zina maji niyapenda
ARUSHA-Kuishi kwa hofu sana usalama mdogo
SHINYANGA-Kahama ndy mji wa kibiashara
MOROGORO-Hapa kuna ngono zembe sana[emoji23][emoji23]
DODOMA-Still Town
D.salaam-Pazuri lkn sijapapenda2
IRINGA-Pamepoa sana
MBEYA-Hali ya hewa sio Rafiki
KATAVI-Kilimo hasa karanga
TANGA-Mzunguko mgumu
SONGWE-Kilimo papo vizur
RUVUMA-Hard life
NJOMBE- Mkoa niupendao 1 kwang no njaa(Pesa ya kutosha)
TABORA- No money
SIMIYU-Pesa ngumu
MARA-Mwendo wa Nyama na maziwa2 but ubabe ndy kwao
KIGOMA-unalogwa na pole juu
SINGIDA-Pakavu sana kiuchumi
 
KAGERA-(Bukoba mjini+Muleba+Karagwe na mtukula)
GEITA- (Mjini+katoro+Nyarugusu+Lwamgasa+Kasamwa+Nkome)
MWANZA-Nyamagana+Ilemela+Sengerema nk
RUKWA+nkasi
SIMIYU+Bariadi+Lamadi
MOROGORO -Mjini +Ifakala+Kilosa+Matombo+Mlimba +Chita+Mbingu.nk
NJOMBE-Makambako+Mjini+Ludewa+Igwachanya+Lusitu+ uwemba+kifanya+luponde-Lupembe+Utalingolo+Iteni+Ngalanga+Manda+Idandu nk
MBEYA+Chunya+mbalali+nk
D.salaam+Kinondon+Ilala+Temeke nk
ARUSHA-Mjini
KILIMANJARO-Moshi+Rombo nk
TABORA-Igunga+Nzega+Ulambo nk
RUVUMA-Namtumbo+Peramiho+mbinga+Londo +Madaba nk
KIGOMA-Kibondo+nk
DODOMA-Chemba+Kondoa(Pisi kali) +Area A+Kikuyu+Area C+Mipango+Makulu+Airport+Chako ni chako+Squaer NYERERE +Msalato Veyula nk
na mikoa mingne mingi
 
View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Hiyo Ramani Yako sio sahihi Haina Mikoa yote.

Ramani ya Tanzania ni hii hapa 👇

20231015_162327.jpg
 
✓Nimefika mikoa mingi Ila Mwanza kwa wasukuma nilipata ukarimu na upendo ambao siwezi kuuelezea.Wasukuma kongole kwenu.

✓Kagera nimeishi sana kwa wahaya wa Muleba Nshamba napo upendo niliuona ila hawajafikia wasukuma.

✓Kigoma Roho juu juu kuhus mambo ya giza.

✓Dar ndo nyumban,huu mji ukiwa na na bidii ya kujituma sana na kutafuta kwa bidii kipato utakiona.Kinachonikera ni foleni tu.

✓Arusha hela ipo Ila usalama hasa jion sio mzuri sana kuna uwoga wa vibaka.

✓Iringa pamepoa kidogo sijajua kwa sasa

✓Mbeya chakula kina nafuu kubwa compared na dar ila sipatani na baridi hivyo sikupapenda.

✓Dodoma hakuna purukushani sana nadhan mji bado unaendelea kukua.

✓Moshi hometown napapenda sana ila kuna ndugu wanapenda sana mambo ya giza,kuuana nje nje hivyo naenda kule kwa sababu maalum Kama msiba,sherehe.Ndugu wengi wamepuputika na hao wanaofanya hayo wanashangilia tena hadharani kabisa.

✓Pwani ya bagamoyo napo kule ardhi bado zipo Ila umwinyi bado haujaisha.Kilimo cha mihogo viazi vitamu mboga mboga vinastawi vizuri sana.Kiwangwa kwa nanasi pako vizuri,mwetemo kilimo cha mahindi ni uhakika.
 
Labda kwa wafanyabiashara.
Ila mimi siwezi.
Yan saa 4 mnachomwa jua kama mko kuzimu? Misongamano [emoji119]

Shortly sipendi heka heka.. ndio maana sipaelewi huko.

Jua la dar linachoma kulingana na kipato chako,
Msongamano pia ni kulingana na kipato chako,
Dar inabaridi kuliko Njombe na Makete huko ni vile tuu unamiliki pesa ngapi [emoji23]
 
Dar- hapa ni nyumbani ni mkoa ambao umenipa mafanikio makubwa sana, na nina upenda kuliko mkoa wowote Tanzania.

Morogoro- utumbo ndizi mwingii

Dodoma-

Singida- aisee huu mkoa nilipata upendo mkubwa sana, na pia una watt wazuri.

Tabora-

Shinyanga-

Mwanza- nimeupenda sana huu mkoa ni mzuri na pia makalio kila mahali[emoji28]

Mara- hapa ndio asili yangu ilipo, ila ata siupendi huu mkoa

Kigoma- aisee kwanza huu mkoa wanawake wengi wabaya, wafupii, weusii tii. Na uchawi mmh

Bukoba- maji kila sehemu

Geita- sio haba panachangamka

Mkoa ambao natamani uwe next ni MBEYA
 
Ningekujibu ila lugha uliyotumia inaonesha we si muungwana na hufai kwenye huu mjadala

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Wewe ndio ulijibu kwa dharau kuwa Mwanza ni wa chuuzi je mikoa minhine haina wachuuzi wanafanya biashara kubwa za mitaji mikubwa, uliandika ujinga mtupu, hakuna sehemu inayoongoza kwa wachuuzi kuzidi Dar, Dar ni kisima cha wachuuzi.... Umesema mwanza hakuna biashara zaidi ya uchuuzi wa bidhaa kutoka china, na umesahau watu wanatajirikia kwenye uvuvi, madini, kilimo, ufugaji n.k...
 
Daresalama bhana Dubai ndogo bhn kuwa na hela ule bata za dunia pale johari rotana upate mda wa kulala pale au upate wakati wa kutembelea sehemu kma uncle's tz, wavuvi kemp uwe mfukoni mtamu utaenjoy Sana mixer kula upepo wa bahari flan Weekend after mishe mishe za mtaani Mungu atusaidie kwenye utafutaji wetu
 
Nimezaliwa na kuishi Dar es salaam ila sipapendi kabisa...

Mmoja wa mzazi wangu ni mwenyeji wa singida naipenda lakini pamekaa kijangwa jangwa sana.

Mkoa wa Tanga pia nyumbani Pako vizuri lakini utafutaji wa pesa ni mgumu sana Tanga labda uwe na pesa ndio uende kuishi. Maisha ya Tanga ni ya kujuana sana.

Nimefika Arusha nimelipenda sana ila baridi ya kule ilinifanya nikakaa miezi 3 bila kuoga🤣🤣🤣 japo utafutaji wa pesa wa Arusha ni mgumu sana pia.

Mwanza ni pazuri haswa hali ya hewa imebalance sio joto sana Wala sio baridi sana. Kwangu huu ndio best mji ninao upenda kuishi. Japo kwenye utafutaji sijajua sana maana ni kama nilipita TU.

Dodoma sijawahi kuielewa japo serikali inatumia nguvu nyingi sana kuipaisha ila bado huu mji umekataa katu katu kukaa kwenye ramani ya Dunia. Siupendi mji wa Dodoma.

Morogoro inechangamka sana japo na yenyewe imegawanyija katika sehemu 2. Kuna morogoro kame na iliyo nawiri huu mji kwangu unashika nafasi ya pili naupenda pia haswa ukizingatia kuwa napenda sana kilimo.​
 
Back
Top Bottom