prosper cliff
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 661
- 695
Hiyo Ramani Yako sio sahihi Haina Mikoa yote.View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Harafu Hadi Leo hii hajabadili Ramani licha ya kupewa Ramani ya TanzaniaTuletee Ramani ya Tanzania na mikoa Yake.
Hiyo Ramani Yako ya mwaka 1997
Weka Ramani ya Tanzania ach ujingamost of the regions are still there na hata Km zilizoongezeka unazitaja tu Km Manyara, Njombe, Katavi, Geita but izo zingine bado zipo vile vile
Mwanza nimezaliwa, naishi hapo milele, Tanga nitaenda kila mala kuonana na mtoto Cecy... Akilegea kidogo namhamishia Mwanza[emoji56]Mwanza nitarudi ila Rushoto nitaishi milele,
Nashukuru Mungu mikoa yote nimekaa.View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Labda kwa wafanyabiashara.
Ila mimi siwezi.
Yan saa 4 mnachomwa jua kama mko kuzimu? Misongamano [emoji119]
Shortly sipendi heka heka.. ndio maana sipaelewi huko.
Wewe ndio ulijibu kwa dharau kuwa Mwanza ni wa chuuzi je mikoa minhine haina wachuuzi wanafanya biashara kubwa za mitaji mikubwa, uliandika ujinga mtupu, hakuna sehemu inayoongoza kwa wachuuzi kuzidi Dar, Dar ni kisima cha wachuuzi.... Umesema mwanza hakuna biashara zaidi ya uchuuzi wa bidhaa kutoka china, na umesahau watu wanatajirikia kwenye uvuvi, madini, kilimo, ufugaji n.k...Ningekujibu ila lugha uliyotumia inaonesha we si muungwana na hufai kwenye huu mjadala
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mwanza nitarudi ila Rushoto nitaishi milele,