Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

MAPENZI ni kitu ovyo sana.. siyatamani
 
Hahaha wanaume tujifunze kula kwa urefu wa kamba yetu. Kwa bahati mbaya sana hivi sasa wadada wengi wanakuwa nawe kwa target.

Kama hazitoshi kulingana na level ya msichana usihangaike nae nenda tu level yako. Hii itaepusha kilio na majuto hapo baadae.
 
Salary ya Milioni 1 unatangaza kufilisika kweli!?
 
wadau tuanze kujifunza hapahapa huko mbele tusifanye makosa tena,

tapeli wa kufilisi mitaji na mshahara ana sound kama hivi
Penzi bila amsha amsha za mapesa ni kama nguo nyeupe iliyofubaa...ifanye tu dekio
 
Sijawahi aisee huwa mimi ni mpangaji mzuri wa bajeti



Huwa nikipataga ela napangaga bajeti kwa ajili ya mbususu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nshasema huu ukuda wa kukwanguana hela na watu tumejuana ukubwani hapana[emoji23][emoji23]mda wowote anaamsha aiseeh labda hela zile za ziada ambazo hazina michongo
Sahii kabisa,
Ela ya ziada Haina presha[emoji4]
 
Back
Top Bottom