Hivyo ni vitu vidogo. Mwachie na hata akiuza havitafika pesa anayokudaiNafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana
Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Mkuu usiache we toroka usiku au alfajiriNafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana
Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari