Desierto JF-Expert Member Joined Aug 26, 2019 Posts 901 Reaction score 3,112 Aug 4, 2025 #1 Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,499 Reaction score 25,295 Aug 4, 2025 #2 Desierto said: Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari Click to expand... Hivyo ni vitu vidogo. Mwachie na hata akiuza havitafika pesa anayokudai
Desierto said: Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari Click to expand... Hivyo ni vitu vidogo. Mwachie na hata akiuza havitafika pesa anayokudai
B Bibiharusi JF-Expert Member Joined Jul 6, 2025 Posts 386 Reaction score 431 Aug 4, 2025 #3 Uza wewe Ivo vitu mlipe uondoke kwa amani Why umpe Kaz wakati ulie panga ni wewe kwakwe
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,336 Reaction score 3,236 Aug 4, 2025 #4 Desierto said: Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari Click to expand... Mkuu usiache we toroka usiku au alfajiri
Desierto said: Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari Click to expand... Mkuu usiache we toroka usiku au alfajiri
Magulumelafulu JF-Expert Member Joined Jul 8, 2021 Posts 623 Reaction score 716 Aug 4, 2025 #5 Niliacha matundu kibao kwa ukuta
Nyaubikra JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 1,752 Reaction score 4,267 Aug 4, 2025 #6 uza tu wewe mwenyewe umpe hela