Umewahi kuingilia ugomvi usiokuhusu halafu yakakukuta makubwa?

Sasa natakiwa kwenda Kigamboni asubuhi nikawa nipo Mwananyamala A nasubiri gari la Stesheni upande wa pili namuona yule mshkaji.
Mshkaji kuniona akaanza kukimbia, sijui ujinga niliutoa wapi, nikamuunganishia bwana.

Nikaenda kumkamata pale shule ya Kisiwani. Basi ile kumfikia na kumshika tu jamaa kilimtoka kichwa hiko kikatua moja kwa moja kwenye paji la uso.
Bado mawenge yamenivaa nashangaa nipo chini, kumbe nimekula mtama.

Ghafla jamaa yuko juu anapeleka mikono mvururu usoni, hapo naomba Mungu wasamaria waje. Wakaja kumtoa nipo chini hoi shenzi mimi.

Nyumbani tulipofika hatukuongeleshana.

Huo ugomvi namba moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!!
 
Siku moja nipo ofisini. Kuna binti anarushia watu chupa obviously ilitakiwa azuiliwe kabla sijamfikia mlinzi mwenzangu akawa kashamfikia kambeba yule binti anaenda kumtoa nje.

Bwana ake akamkwida mlinzi mwenzangu huku anatukana "M**nge ku****ako unaingilia ugomvi wa mademu si uwaache wapigane?" Mimi nikamtight jamaa tukatoka hadi nje.

Jamaa brazamen tu kavaa jinzi inabana nyeupe fulana nyeupe kapelo nyeusi na converse nyekundu. Demu wake katia gauni fupi jeusi kama sundress hivi.

Kwahiyo hawakuonyesha kama ni threat kivyovyote. Yule mlinzi mwenzangu akaanza kumpaka jamaa "We ku*a tu nikiamua nato**ba wewe na huyo demu" mimi hapo namwambia mshkaji "Hoya jikatae hatutaki washamba wa starehe humu"

Mshkaji akajibu "Nyi was**nge tu, miili tu hiyo hamna kitu" hapo watu washajaa tayari.

Tukamwambia jaribu kutugusa basi.

Akageuka akaenda kwenye gari alivyorudi akachomoa pistol akaionyeshea upande wetu.
Hata sielewei ilikuaje nikajikuta nimeganda sauti haitoki mshkaji wangu kashapiga magoti mikono juu.

Binti akaanza "Was*nge nyinyi kelele nyingi mbona mpo kimya?" Kwa unyonge nikafunguka "Dada tafadhali mwambie braza atusamehe"

Mara kaja supavaiza akamplease jamaa akamuelewa yule supavaiza, akaingia kwenye ndinga akasepa.
 
Hiyo ilikuwa kwenye ukumbi flani enzi za mi mmasai bana nasema mi mmasai"mr ebbo alikuwa akitumbuiza!
Ukumbi ulikuwa ni jumba flani lina juu na chini!
Niko na mshkji wangu kipenzi juu tunakula bia na ndumu.
Ghafla akatokea manzi anatafuta wenzake akatuuliza sisi hatujawaona lakini dada we mzuri sana ukitupa kampani hapa tutafurahi!
Akaa hadi niwaone wenzangu!basi kunywa hata stella lager jamani!
Sawa asanteni.
Akanywa ya kwanza hadi ya nne"
Woow rafki zangu wale chini ngoja niwafate nitarudi "poa"tukajibu.
Km lisaa hivi shoo imebamba tukashuka chini khaaaa lile dem linabambiwa na jamaa mwingine afu kashakunywa bia zetu!
Jamaa akaenda akakamata rasta za yule dada akimvuta kwenda nje.
Yule jamaa kuona hivyo akapita zake hivi!
Tukavuruta dem hadi nje huku jamaa kashika rasta mi nimebeba miguu!
Hamadi kutoka nje tu pira limepaki afu dem anapiga kelele balaa!
Turudi ndani au tukimbie!hapo tukafunguka spidi 500
Manjagu hao nyuma yetu!
Spidi ikanishinda nikageuka na kipepsi cha hatari nikaskia tuu uwii muraaa!
Nikala mtama mmoja matata sana hadi soksi ikavuka viatu viko mguuni!
Nikawekwa kati aseee tulichezeana vitasa hapo nakuja kujikuta kituo kidogo nimeiva na pombe imekata!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii noma
 
Sasa natakiwa kwenda Kigamboni asubuhi nikawa nipo Mwananyamala A nasubiri gari la Stesheni upande wa pili namuona yule mshkaji.
Mshkaji kuniona akaanza kukimbia, sijui ujinga niliutoa wapi, nikamuunganishia bwana.

Nikaenda kumkamata pale shule ya Kisiwani. Basi ile kumfikia na kumshika tu jamaa kilimtoka kichwa hiko kikatua moja kwa moja kwenye paji la uso.
Bado mawenge yamenivaa nashangaa nipo chini, kumbe nimekula mtama.

Ghafla jamaa yuko juu anapeleka mikono mvururu usoni, hapo naomba Mungu wasamaria waje. Wakaja kumtoa nipo chini hoi shenzi mimi.

Nyumbani tulipofika hatukuongeleshana.

Huo ugomvi namba moja.

hahaaah mkuu
 
Kuna siku nipo Ferry Kigamboni kuna muuza madafu akiwa na baiskeli akamgonga binti mmoja hivi, huyo binti hatuna hata stori ila tulikua tunaonana onana tu.

Muuza madafu akapaniki anasema yeye ndiyo kagongwa asizinguliwe. Binti naye matusi yanamtoka mshkaji anamtambia anamwambia niguse kama unaweza.

Mimi kama kawaida.

Nikaiingilia ile show. Nikaanza kumtukana kua anataka ugomvi na mabinti wakati wanaume tupo, jamaa akanifuata huku kaniinamishia kichwa halafu anasema

"Piga basi" "Haya piga"

Mi nikawa narudi nyuma kama najihami akamalizia "Ms*nge unalilia mk**undu unagewa unashindwa kuuf*ra?"

Nikaona hii imevuka mpaka nikapeleka kibao jamaa akainama akakimbilia kwenye baiskeli yake. Kumbe wauza madafu wanakuaga na sime bwana akili ikaja kujua hilo muda huo namuona njemba ananikimbilia kisu kipo juu.

Nikaona isiwe shida nikatoka nduki, jamaa huyu hapa kazana jamaa huyu hapa.

Nikaona huyu boya atanitoa utumbo.

Hivi unajua mtu anaweza kuogelea kwa mkono mmoja mwingine akawa kashikilia nguo au simu? Ndiyo kilichotokea hiko.

Chubwii kwenye maji mkono mmoja umeshikilia Tecno mwingine napiga mbizi. Yule boya naona kashika kisu ananitamaaani.

Anyway yule binti tukakutana maeneo ya nyumbani ile incidence kama alihadithia basi watu walivumilia kuja kunicheka.
 
Niko form two naelekea shule kuna washkaji wanne wakawa wanataka kupanda gari konda anawazuia. Ugomvi ukalipuka na mimi nikaunga kwenye ugomvi..

Washkaji hawanijui siwajui. Tukamtembezea kichapo konda safi kabisa.

Safari inaendelea ndani ni kutemeana maneno ya shombo tu akatuambia subirini mtanielewa tu.

Gari kufika Tandale Kwa Mtogole. Konda akashuka akaanza kuita "Sele Bujeeee, wee Sele Bujeeee njoo huku" dereva akawasha gari akaanza kuondoka akawa kama hataki ile ishu. Konda akadandia gari.

Sele Buje akadandia carrier ya nyuma ya gari, kituo cha Sweet Corner watu wakashuka Sele Buje akaingia ndani kwenye gari.
Ana muonekano wa kibabe knuckles zimechacha vibaya.

Anamuuliza konda "Nani analeta vurugu?" Konda katuonyeshea sisi, akaanza kutusogelea. Mimi hapo nakokotoa namna gani naweza kuruka kutoka dirishani nitue kwenye lami bila kugongwa kisha nikimbilie mitaa ya Manzese.

Hesabu hazijakaa sawa. Sele Buje kafika tu anakutana na dogo kutoka wale wanne wanasalimiana "Master vipi?" Sele buje anajibu "Shwari mbona mnakua wakorofi?" Dogo anajibu "Tumechelewa master sasa jamaa akawa anatuzuia ndiyo tukalazimisha kuingia"

Sele Buje akamgeukia konda "Hawa wadogo zetu bwana hawana shida"

Turns out Sele Buje alikua ni mwalimu wa boxing wa yule dogo.

Ila nilitetemeshwa sana.
 
Hiyo ilikuwa kwenye ukumbi flani enzi za mi mmasai bana nasema mi mmasai"mr ebbo alikuwa akitumbuiza!
Ukumbi ulikuwa ni jumba flani lina juu na chini!
Niko na mshkji wangu kipenzi juu tunakula bia na ndumu.
Ghafla akatokea manzi anatafuta wenzake akatuuliza sisi hatujawaona lakini dada we mzuri sana ukitupa kampani hapa tutafurahi!
Akaa hadi niwaone wenzangu!basi kunywa hata stella lager jamani!
Sawa asanteni.
Akanywa ya kwanza hadi ya nne"
Woow rafki zangu wale chini ngoja niwafate nitarudi "poa"tukajibu.
Km lisaa hivi shoo imebamba tukashuka chini khaaaa lile dem linabambiwa na jamaa mwingine afu kashakunywa bia zetu!
Jamaa akaenda akakamata rasta za yule dada akimvuta kwenda nje.
Yule jamaa kuona hivyo akapita zake hivi!
Tukavuruta dem hadi nje huku jamaa kashika rasta mi nimebeba miguu!
Hamadi kutoka nje tu pira limepaki afu dem anapiga kelele balaa!
Turudi ndani au tukimbie!hapo tukafunguka spidi 500
Manjagu hao nyuma yetu!
Spidi ikanishinda nikageuka na kipepsi cha hatari nikaskia tuu uwii muraaa!
Nikala mtama mmoja matata sana hadi soksi ikavuka viatu viko mguuni!
Nikawekwa kati aseee tulichezeana vitasa hapo nakuja kujikuta kituo kidogo nimeiva na pombe imekata!
hahahahaahahahhahaahahaa aisee noma sana
 
Siku moja nipo ofisini. Kuna binti anarushia watu chupa obviously ilitakiwa azuiliwe kabla sijamfikia mlinzi mwenzangu akawa kashamfikia kambeba yule binti anaenda kumtoa nje.

Bwana ake akamkwida mlinzi mwenzangu huku anatukana "M**nge ku****ako unaingilia ugomvi wa mademu si uwaache wapigane?" Mimi nikamtight jamaa tukatoka hadi nje.

Jamaa brazamen tu kavaa jinzi inabana nyeupe fulana nyeupe kapelo nyeusi na converse nyekundu. Demu wake katia gauni fupi jeusi kama sundress hivi.

Kwahiyo hawakuonyesha kama ni threat kivyovyote. Yule mlinzi mwenzangu akaanza kumpaka jamaa "We ku*a tu nikiamua nato**ba wewe na huyo demu" mimi hapo namwambia mshkaji "Hoya jikatae hatutaki washamba wa starehe humu"

Mshkaji akajibu "Nyi was**nge tu, miili tu hiyo hamna kitu" hapo watu washajaa tayari.

Tukamwambia jaribu kutugusa basi.

Akageuka akaenda kwenye gari alivyorudi akachomoa pistol akaionyeshea upande wetu.
Hata sielewei ilikuaje nikajikuta nimeganda sauti haitoki mshkaji wangu kashapiga magoti mikono juu.

Binti akaanza "Was*nge nyinyi kelele nyingi mbona mpo kimya?" Kwa unyonge nikafunguka "Dada tafadhali mwambie braza atusamehe"

Mara kaja supavaiza akamplease jamaa akamuelewa yule supavaiza, akaingia kwenye ndinga akasepa.
Ahahahhaahaj una vituko
 
Mm nakumbuka kipindi fulan nikiwa kijijini nilienda kuachanisha ugomvi fulan watu wasigombane jamaa akatoa kisu nakwambia nilipanda gari la miguu niponye hata hussen bolt asingenikamata
Sipendi kabisa kuingilia ugomvi watu wakiwa wanapigana
 
Sasa natakiwa kwenda Kigamboni asubuhi nikawa nipo Mwananyamala A nasubiri gari la Stesheni upande wa pili namuona yule mshkaji.
Mshkaji kuniona akaanza kukimbia, sijui ujinga niliutoa wapi, nikamuunganishia bwana.

Nikaenda kumkamata pale shule ya Kisiwani. Basi ile kumfikia na kumshika tu jamaa kilimtoka kichwa hiko kikatua moja kwa moja kwenye paji la uso.
Bado mawenge yamenivaa nashangaa nipo chini, kumbe nimekula mtama.

Ghafla jamaa yuko juu anapeleka mikono mvururu usoni, hapo naomba Mungu wasamaria waje. Wakaja kumtoa nipo chini hoi shenzi mimi.

Nyumbani tulipofika hatukuongeleshana.

Huo ugomvi namba moja.
Khaaa umejua kunichekesha
 
Kuna siku nipo Ferry Kigamboni kuna muuza madafu akiwa na baiskeli akamgonga binti mmoja hivi, huyo binti hatuna hata stori ila tulikua tunaonana onana tu.

Muuza madafu akapaniki anasema yeye ndiyo kagongwa asizinguliwe. Binti naye matusi yanamtoka mshkaji anamtambia anamwambia niguse kama unaweza.

Mimi kama kawaida.

Nikaiingilia ile show. Nikaanza kumtukana kua anataka ugomvi na mabinti wakati wanaume tupo, jamaa akanifuata huku kaniinamishia kichwa halafu anasema

"Piga basi" "Haya piga"

Mi nikawa narudi nyuma kama najihami akamalizia "Ms*nge unalilia mk**undu unagewa unashindwa kuuf*ra?"

Nikaona hii imevuka mpaka nikapeleka kibao jamaa akainama akakimbilia kwenye baiskeli yake. Kumbe wauza madafu wanakuaga na sime bwana akili ikaja kujua hilo muda huo namuona njemba ananikimbilia kisu kipo juu.

Nikaona isiwe shida nikatoka nduki, jamaa huyu hapa kazana jamaa huyu hapa.

Nikaona huyu boya atanitoa utumbo.

Hivi unajua mtu anaweza kuogelea kwa mkono mmoja mwingine akawa kashikilia nguo au simu? Ndiyo kilichotokea hiko.

Chubwii kwenye maji mkono mmoja umeshikilia Tecno mwingine napiga mbizi. Yule boya naona kashika kisu ananitamaaani.

Anyway yule binti tukakutana maeneo ya nyumbani ile incidence kama alihadithia basi watu walivumilia kuja kunicheka.
Nimecheka sana mamaaeer zako
 
Back
Top Bottom