Hii kweli kabisa ipoChanzo cha kutupiana majini.
Mkuu hizi ni mbinu za masoko, mtu anaenda sehemu anaweka bajeti kabisa ya hasara ili apate wateja,Chunguza labda anauza bidhaa feki au kuna unafuu anaoupata Kwenye kodi au gharama za uendeshaji sio rahisi mtu kufanya hivyo
Ni kweli kabisa biashara ya sasa ni mtaji mzito,Biashara inataka Mtaji Kwasasa,story za Customer care watu hawana habari nazo.
Jifanye una customer care, Mwenzio duka la Pili Product ya 200k anaiwekea Faida ya 5,000.. (unaweza?)
Product ya 5000 anaweka Faida sh 100.. Fukuzia huo moto uone... lazima umuite mchawi
Lakini Biashara sasa hivi siri ipo kwenye Kuvunja Bei...
Vunja Bei kadri uwezavyo hamna biashara mpya kwasasa watu wanaenda penye unafuu wa bei life lishakua Gumu.
Acha kukomaaa na Bei...
una jinsia ipi, ke ?
Hii mbinu itafanya upate hela ya kula tu, na kulipa kodi, hata kujenga hutajengaBiashara inataka Mtaji Kwasasa,story za Customer care watu hawana habari nazo.
Jifanye una customer care, Mwenzio duka la Pili Product ya 200k anaiwekea Faida ya 5,000.. (unaweza?)
Product ya 5000 anaweka Faida sh 100.. Fukuzia huo moto uone... lazima umuite mchawi
Lakini Biashara sasa hivi siri ipo kwenye Kuvunja Bei...
Vunja Bei kadri uwezavyo hamna biashara mpya kwasasa watu wanaenda penye unafuu wa bei life lishakua Gumu.
Acha kukomaaa na Bei...
Sibishani na wasiofanya biashara, niache msikiliza VUNJABEI nikusikilize wewe.Hii mbinu itafanya upate hela ya kula tu, na kulipa kodi, hata kujenga hutajenga
Sawa, endelea kuvunja bei tu,Sibishani na wasiofanya biashara, niache msikiliza VUNJABEI nikusikilize wewe.
Sio rahisi,ni heri nikose hizo hela za kujenga kwa ushauri wa VUNJABEI ila sio huo wako nisiotamani hata kuujua.
Ni kweli kabisa biashara ya sasa ni mtaji mzito,
NI AIDHA MUWE TEAM AMA UWE NA MTAJI WA TEAM
watu wananunua mizigo in bulk (mzigo mkubwa), familia, ndugu au team waliosambaa mikoa mbali mbali wanakaa pamoja wanagiza mzigo mkubwa mfano dozen elf 50 za bidhaa kutoka china, ukija piga hesabu ya dozen moja unakuta ni elf 3
Wewe unaenda kununua kivyako dozen elf 1 tu ukija piga hesabu ya dozen moja unapata elf 5
Mwenzako anauza dozen 5,100 utadhani anapata faida ya mia kumbe ni faida ya 2,100+, wewe ili kuipata hio faida inabidi uuze 7,100, ukimuiga bei umekwisha.
Ni sasa hivi kashajipata lakini Enzi za VUNJABEI anatafuta soko hamna mahali unaweza pata jeans bei rahisi kama kwake labda Mtumbani.Sawa, endelea kuvunja bei tu,
Hio njia mtaishia kutoana damu na washindani wako, mwisho wote mfirisike, hakuna alietoboa kwa kuuza vitu kwa kuvunja bei,
Vunja bei mwenyewe zile jeans zake za 18k huku mtaani ni 17k
Vita ya akina dada lakini mlipaji hapo ni sponsorKwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
N.k.
- jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
- Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
- Anataka uhame atawale soko hio sehem
- Anataka kukutia adabu / kukukomesha / kisasi
Binafsi nina jirani anauza kwa bei za chini mno