Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)

Ni aidha
  • jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
  • Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
  • Anataka uhame atawale soko hio sehem
  • Anataka kukutia adabu / kukukomesha / kisasi
N.k.
Binafsi nina jirani anauza kwa bei za chini mno
Mara nyingi wanaofanya hivi ndio kwanza wanaanza biashara.Binafsi nilikata matumizi yangu,nikasima na bei yangu lakini haukupita muda mshindani alidondoka.Jambo la pili ni kuangalia kuwekeza katika maeneo tofauti kiasi ambacho ukishuka huku,kule kunaku maintain.Haya mambo tunayo waswahili lakini Wahindi wana umoja sana.
 
Ni upuuzi sana kufanya ushindani wa kushushiana bei
 
Ni sasa hivi kashajipata lakini Enzi za VUNJABEI anatafuta soko hamna mahali unaweza pata jeans bei rahisi kama kwake labda Mtumbani.

sasa hivi VUNJA BEI kashajipata limebaki jina tu ila sio kwamba bei zake ni chini tena kashavuka huko saivi anauzia wenye pesa.
Which means a price war is not sustainable in the long run.
 
Fahali wawili wakipigana ziumiazo nyasi
Bora mkubaliane na kuweka bei zinazolingana kuliko kuendelea kufaidisha binadamu na nyie kuendelea kuteseka na umaskini
Kwenye uchumi hii inaitwa "oligopoly market". Mnakaa mnakubaliana then kila mtu anatakiwa kuheshimu maamuzi ya kikao. Ndio wanavyofanya mitandao ya simu. Siku ukiona Voda au airtel kapandisha bei jua lazima wengine wafwate.
 
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)

Ni aidha
  • jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
  • Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
  • Anataka uhame atawale soko hio sehem
  • Anataka kukutia adabu / kukukomesha / kisasi
N.k.
Binafsi nina jirani anauza kwa bei za chini mno
atakwama,

komaa na bei zako halisi, hana pumzi huyo hachukui round atanyoosha mikono kwenye hiyo business 🐒
 
Business is not for everyone....kwa mwendo huo kati yako na huyu competitor mmoja n swala la mda tu...atanyoosha mikono juu....tumia mbinu za kichaga swala dogo sana hiloo...
Mbinu gani hizo
 
Back
Top Bottom