Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

Kidegembye
Msesule
Mabonde
Kiembe samaki
Mpigamiti
 
Mkuu,

Hiki imebidi nikitafute kwenye ramani, kuna Secondary School ipo katikati ya Nyerete National Park/Selous huko.

Kwa hiyo hawa hawaruhusiwi kufuga wanyama kwa sababu wako ndani ya National Park?

Wanaishije na wanyama huko?
 
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
KhanyamaKhandasi kipo ndrani ndrani huko kwenye moja ya hifadhi za Taifa 🐒
 
Msunjulile-Dodoma
Mgogodo-Chalinze
Msinune-Chalinze
Kibindu-Chalinze
Chimba unye-Chalinze
Manda mazingara-Chalinze
Matipwiri-Chalinze
Panga la muingereza-Kisarawe
Nkundusi-Kasulu
Ntovye-kigoma
Mgeni nani-Dar
Ng'aapa-Mtwara
Mpwayungu-Dodoma
 
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Mkunwa
 
Mnyuzi - TA
Tandaimba
Magwepande TA
Kahe - KLM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…