Naomba nikutembelee, halafu ushinde kama unavyoshindaga.Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Hela utakayoitumia kwa ajili ya nauli kwanza tengeneza simu yako mbovu π€£π€£π€£π€£Naomba nikutembelee, halafu ushinde kama unavyoshindaga.
Sent using simu mbovu
Kwahiyo nikisharekebisha simu yangu, naweza kuja.Hela utakayoitumia kwa ajili ya nauli kwanza tengeneza simu yako mbovu π€£π€£π€£π€£
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Kichuo chuo mnakaa geto moja watu wa3. Geto lipo well equipped Yani karibia kila kitu. Kimbembe mnapokuja kusambaratika dadeki unajikuta kumbe mle geto Cha kwako ni ni feni, deki ya CD na mopa ya kudekia, vingine vyote vya washikaji. Mageto ya kuchangia noma Sana.
naomba nije tushinde wote nadhani ntajifunza vingi kwako.Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Afu hiyo picha uliyoweka imekaa vibaya, nikija kwako nikakuta hivyo!! Akyamama sitokuja tena labda nisikie unataka kukata roho
Hapa mchuchu amenitembelea juz weekend akanipikia Hiyo kitu View attachment 1339887
Sent using Jamii Forums mobile app
M
kuu hiyo picha mbona yangu
Hii picha hata mimi sio ngeni kwangu.M
kuu hiyo picha mbona yangu
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Hapana boss utakuwa umefananisha tuuM
kuu hiyo picha mbona yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kichuo chuo mnakaa geto moja watu wa3. Geto lipo well equipped Yani karibia kila kitu. Kimbembe mnapokuja kusambaratika dadeki unajikuta kumbe mle geto Cha kwako ni ni feni, deki ya CD na mopa ya kudekia, vingine vyote vya washikaji. Mageto ya kuchangia noma Sana.
Hujaelewa maana gheto! Kama ikitokea ukielewa nitag!Afu hiyo picha uliyoweka imekaa vibaya, nikija kwako nikakuta hivyo!! Akyamama sitokuja tena labda nisikie unataka kukata roho