carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Ghetto raha sana aiseh... balaa inakuja kwenye kuosha vyombo tu.. mimi ilibidi ninunue masahani mengii na masufulia mengi.. nilikua nakaa week nzima bila kuosha vyombo naviweka nje tu..
Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa
Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa