Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Mm Nakumbuka Nilishindwa Kukaa Na Wana Flan Sababu mm Nilikuwa Job Kipindihicho wao Bado Hawana Maisha

So Kila Kitu Nashughulikia Mm Kodi Yameza Nk
Ila Mzee baba unaenda Kazini Unarudi Vyombo Vichafu Kupika Wanategeana

Mashuka Yananuka Balaa mara Kule Condom Mara Huku Boxa Sometimes Demu Analiwa hapo Unashuhudia

Ukitaka Unga tela Dah Yake Maisha Noma Thanaa
ma ghetto ya wanaume aiseeee ni noma usiombe uingie full but kila kitu shagalabagala, kuna harufu ya kila aina, ya soksi, kwapa, vyombo vichafu nk. kweli ni raha kigeto geto ila kama mnakaa wote wachafu hapana bora ukae mwenyewe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu ana miaka 2000 anaishi kwao hana hata wazo la kuhama. Kwa roho yake sasa ilivyo ya ajabu bado yuko kwao halafu katupa mualiko tukaishi palepale kwa baba yake pamoja nae. Huyu kijana ana roho ya kipekee sana.
Binafsi naungana na Kijana Yesu.
Falsafa zake za kutotoka home nimezikubali
 
[emoji2][emoji2][emoji2] Unatumia Maandiko Kuendelea Kula Cha Shikam****booo
Yesu ana miaka 2000 anaishi kwao hana hata wazo la kuhama. Kwa roho yake sasa ilivyo ya ajabu bado yuko kwao halafu katupa mualiko tukaishi palepale kwa baba yake pamoja nae. Huyu kijana ana roho ya kipekee sana.
Binafsi naungana na Kijana Yesu.
Falsafa zake za kutotoka home nimezikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni kuosha vyombo vinakaa nje kwenye sinki wiki mpaka mabaki ya chakula yanaota fungi

Ndo maana sipend kupika kwa sababu ya vyombo naishia kula cafe au kwa mama ntilie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master

raha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo
 
Weekend Hii Tuje Tu Experience wote Kushinda Bila Nguo

I need Ideas
raha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geto ni geto tu aisee,

Unakuta geto limetia,hapo kafridge,kameza ka kioo,flat 32 ukurani,homethieter imetimia,kasofa ka kitasha,
Ila sasa utakuta sofa limekaa chin ya tv kisa game,boksa zipo kwenye viti,vyombo vya juzi vipo kwenye karo,net tokea iwekwe haijawah pandishwa....net ina mlango dah

Kinachonichekeshaga ni ule ushirikiano wa usafi pale mmoja wenu anapoambiwa nmeshashuka ongea na boda boda.

Hapo wana wote kila mtu anashika chake,dak 10 geto safi linanukia airfresh matata,na wana wote washasepa

Kuna siku jamaa alifutia bao tshert ya jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo La Bao Sijui Ilikuaje Baadae Hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Back
Top Bottom