Geto ni geto tu aisee,
Unakuta geto limetia,hapo kafridge,kameza ka kioo,flat 32 ukurani,homethieter imetimia,kasofa ka kitasha,
Ila sasa utakuta sofa limekaa chin ya tv kisa game,boksa zipo kwenye viti,vyombo vya juzi vipo kwenye karo,net tokea iwekwe haijawah pandishwa....net ina mlango dah
Kinachonichekeshaga ni ule ushirikiano wa usafi pale mmoja wenu anapoambiwa nmeshashuka ongea na boda boda.
Hapo wana wote kila mtu anashika chake,dak 10 geto safi linanukia airfresh matata,na wana wote washasepa
Kuna siku jamaa alifutia bao tshert ya jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using
Jamii Forums mobile app