Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ghetto raha sana aiseh... balaa inakuja kwenye kuosha vyombo tu.. mimi ilibidi ninunue masahani mengii na masufulia mengi.. nilikua nakaa week nzima bila kuosha vyombo naviweka nje tu..

Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha Ghetto Kisha Toka Tunakiwasha Nawana
254792913696_status_e03bac560e6b4a66b7849644ee8d0ced.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghetto raha sana aiseh... balaa inakuja kwenye kuosha vyombo tu.. mimi ilibidi ninunue masahani mengii na masufulia mengi.. nilikua nakaa week nzima bila kuosha vyombo naviweka nje tu..

Shida nyingine kama uko chuo ..ukiishiwa bando unaweza kukuta hadi chuo kimefungwa huna taarifa
vyombo noma mazeee
mm nilikuwa navisahau mpaka vinaanza kutoa harufu si unajua yale maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman tuheshimiane!!!!

Dunia nzima hakuna mwanamk au dem anaeish ghetto.!!!

Demu tu akishahamia getho, Hapo sio ghetto tena bali hapo ni nyumbn.

Ghetto gan asubuh net inakunjw jion inashushw. Geto tukishusha net mpaka siku ya kufua.

Geto umeamka unaanxa kutandk kitanda...NO

ghetto eti umetoa vyombo asubuh unaanxa kuosha, hapo sio geto men. Vyombo unaosha muda wa kupika tu tena vile vinavyotumik kw muda huo tu.

Eti ghetto umeinamisha kiuno unadeki. Ghetto apo kweli!? Masela Lazima tukuhoj "oya mwana vp shemela anakuja nn"

Hizi ni baadhi ya kanuni za ghetto. Mlioish geto mtaongeza zingine.

HAKUNA DEMU ANAEISH GHETTO JAMAN MSITUUDHI TULIOISHI GHETO. Mtu anaamka Anadek, anaosh vyombo hapo sio ghetto tena ni nyumbn.

Get

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Naomba weekend moja
uje mahali tushinde wote bila nguo
 
Sasa Mkuu Ghetto Lako Kulikuwa Hakuna Kunguni Na Chawa Kweli Kwa Maelezo Haya

Sikuhizi Ma Ghetto Yanaenda Na Zama Zimebadilika Ghetto ghetto Hasaa

Back
Top Bottom