Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,404
Weka maoni yako hapa.

Nisiwachoshe I wish nipate experience zenu mazee na sister duu's mlioishi maghetto.

Hii imekaaje kwenu?

FB_IMG_1580310987863.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichuo chuo mnakaa geto moja watu wa3. Geto lipo well equipped Yani karibia kila kitu. Kimbembe mnapokuja kusambaratika dadeki unajikuta kumbe mle geto Cha kwako ni ni feni, deki ya CD na mopa ya kudekia, vingine vyote vya washikaji. Mageto ya kuchangia noma Sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Kichuo chuo mnakaa geto moja watu wa3. Geto lipo well equipped Yani karibia kila kitu. Kimbembe mnapokuja kusambaratika dadeki unajikuta kumbe mle geto Cha kwako ni ni feni, deki ya CD na mopa ya kudekia, vingine vyote vya washikaji. Mageto ya kuchangia noma Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
naomba nije tushinde wote nadhani ntajifunza vingi kwako.
 
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master

Mie pia nilikaa ghetto first year maisha yakanishinda nikarudi hostel...nikaja kuishi ghetto tena nilivyofika last year

Maisha ya ghetto ni mazuri manake unajiamulia ufanye nini na hakuna atakayekuuliza,natoka na kurudi muda wowote,too bad ilikuwa mbali na nyumbani so nimemaliza na kurudi nyumbani
 
Kichuo chuo mnakaa geto moja watu wa3. Geto lipo well equipped Yani karibia kila kitu. Kimbembe mnapokuja kusambaratika dadeki unajikuta kumbe mle geto Cha kwako ni ni feni, deki ya CD na mopa ya kudekia, vingine vyote vya washikaji. Mageto ya kuchangia noma Sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom