Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Kigeton geton wayback 205/16 Tulikuwa sita kila mtu anae kesi Kafukuzwa kwao , Kisa kakataa shule(mimi huyo)
Mwingine anaelewa Tuu maisha Yetu ya kigeto geto , Kula Tunakula fresh Pesa ilipokata ndo Tukaanza kujifunza kuweka Pavin slabs,
Ratiba Ya kula kila siku ugali Dagaa isipokuwa Jpili
Tulikuwa Tunakula wali, Au pilau Mboga matikiki maji, Ndumu za kushato ,
mwenye ghetto alikuwa katuzidi umri kiaina Ila alikuwa na akili kama zetu
Kazi ya pavin slab ikaninunulia Godoro , Na kodi Nikaanza maisha Yangu mwenyewe ila gheto hakuna msoto life ni powa sana kama Unahustle ,
Namkumbuuka sana mshkaji alonipokeaga , Maza akawa akipiga simu sielewi nishazoea maisha ya mageironi so nikawa namkwepa ila Baadae nkarudi kundini

Ghetto limenifunza now Namiliki Chumba nilichopanga siyo geto
 
Kanuni ya geto mwamba haibadilikag arif.soma comment apo juu Kuna mwamba anasema alikuwa aoshag vyombo mpaka harufu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuosha vyombo ilikuwa mziki ila kama mtu hujazoea uchafu utaosha , Tuu, Utadeki utafua mashuka day unafua nguo zako, Na kuwahimiza wahuni wafue, Maisha Ya geto yamenibadilisha
 
Haha Nomaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ghetto ni ile kuishi ndani ya room moja n mazaga yako yote. chumbani hapo hapo, sebuleni, stoo, jikoni.
Wewe una elements za uchafu
 
πŸ˜…
 
Watu Wanatoka Mbali Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghetto Nishule Asilia Mkuu
Maana Unakutana Na Watu Na wenye Tabia Mbali Mbali

Sometimes Itakufunza Vyema Au La Ikakupoteza Mazima Hapo Ni Akili Kumkichwa sasa
[emoji23][emoji23] ila kero zote hizo ni za kujitakia , Nimeishi maisha ya kuku wa kisasa mda mrefu sana ila 2016 nkakata kamba [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ghetto ni nini kwanza, nahisi bado naishi ghetto.
 
Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
ma ghetto ya wanaume aiseeee ni noma usiombe uingie full but kila kitu shagalabagala, kuna harufu ya kila aina, ya soksi, kwapa, vyombo vichafu nk. kweli ni raha kigeto geto ila kama mnakaa wote wachafu hapana bora ukae mwenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…