Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Shida ni kuosha vyombo vinakaa nje kwenye sinki wiki mpaka mabaki ya chakula yanaota fungi

Ndo maana sipend kupika kwa sababu ya vyombo naishia kula cafe au kwa mama ntilie

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kuosha vyombo ilinifanya niache kupika nikawa nakula kwa mama ntilie kwa bill,ikifika saa 1.30 to saa 2 niko barabarani kwa mama ntilie,baada ya hapo ni movie mpaka saa 7,yale maisha matamu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaa getto raha sana,
Kauli mbiu " kula tutakula ata kama kwa kuchelewa" hapo usiku wake mmekunywa pombe za gharama kwel mnamka asubui pesa hamna mpaka ipitishwe donation.

Getto sufuria ya ugali inasiku imeoshwa inanuka hatar,ashtray imejaa husisema,chupa za konyagi na k vant hatar.

Kitanda kutandikwa issue mzee,mhmmm nilisema hapn wajinda nikimalizana na chuo huu upuzi sikati tena japo kua napenda marafiki lakn huu uchafu hapn.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
yaaani home jau haswa.... nmeyamisi maisha ya ghetto ila yawe mkoani, sipapendi dar
Njoo ukae geto kwangu Arusha...utakunywa sana Konyagi na kuvuta msuba utapapenda kwa kweli

Sent using Samsung s10
 
Njoo ukae geto kwangu Arusha...utakunywa sana Konyagi na kuvuta msuba utapapenda kwa kweli

Sent using Samsung s10

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona vyote hivyo stumii
 
Hahahahahaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi Depal nitakula ndizi ntakuja na pilipili mbuzi kweny mfuko...


Sent using Samsung s10
Uje na nyama, pilipili mbuzi pembeni ya mlango kuna kimti 🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Karibu Arusha, Dodoma usiende kuna vumbi utapauka mno..Moro mji mdunchu

soon ntapita arusha nina safari ya ngorongoro....takuja kukusalimia.

Ila mi napapenda mbeya au Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…