Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Hii ya kuosha vyombo ilinifanya niache kupika nikawa nakula kwa mama ntilie kwa bill,ikifika saa 1.30 to saa 2 niko barabarani kwa mama ntilie,baada ya hapo ni movie mpaka saa 7,yale maisha matamu aiseeShida ni kuosha vyombo vinakaa nje kwenye sinki wiki mpaka mabaki ya chakula yanaota fungi
Ndo maana sipend kupika kwa sababu ya vyombo naishia kula cafe au kwa mama ntilie
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app