Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes nzuri sanaPeanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Unajua sana bimama hapo na dona saaf kabisa
Njoo huku tumekuekeaMi sijaona msosi mchana wa leo nimepiga freekick
😁😁😁Pinat bata ni karanga eee, kama CHAPUTA wanatumiaga picha kumaliza shida zao, why mimi nisitumie hii picha kulia ugali
Na ka dona kalainiiiiUnajua sana bimama hapo na dona saaf kabisa
NzurTunakula mlo sawa ila tofauti inakuwa mi ni
Bamia nyanya chungu kitunguu nyanya na maji kidogo hakuna mafuta ndim kwa mbali
Nimejikuta nahangaika huku hata sijui natafuta nini maana msosi umenipagawisha kwakweli,hongera sana kwa ufundi huu wa mapishi.
NICE! Mimi binafsi nachukia sana vitungu vyenye rangi hiyo, napenda vitunguu viwe vibichi kabisa (Kwenye kachumbari) ila vikipikwa basi viwe kahawia
umetisha... mamaa
Haziwez kuwa nyama😁😁Dagaa ni dagaa tu Mkuu.
Lakini wamekaa vizuri ase, ugali hapo fastaa.
Unapikaje Dagaa na vichwa vyake....aaargh