Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
wenzako tunavipendaNICE! Mimi binafsi nachukia sana vitungu vyenye rangi hiyo, napenda vitunguu viwe vibichi kabisa (Kwenye kachumbari) ila vikipikwa basi viwe kahawia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenzako tunavipendaNICE! Mimi binafsi nachukia sana vitungu vyenye rangi hiyo, napenda vitunguu viwe vibichi kabisa (Kwenye kachumbari) ila vikipikwa basi viwe kahawia
Yako nzuri zaidiNzur
Haziwez kuwa nyamaDagaa ni dagaa tu Mkuu.
Lakini wamekaa vizuri ase, ugali hapo fastaa.
Me napendaaUnapikaje Dagaa na vichwa vyake....aaargh
Sawa 😆😆Mimi sitaki unafiki hujui kupika pishi baya
Kanda ya ziwa ni chai tu ndo hatuwekei karanga 🤣🤣🤣 hata wali ukikaa vibaya tunaunga na karanga.Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Na dona Tena?Unajua sana bimama hapo na dona saaf kabisa
Yes dona nachanganya na unga wa muhogo ....mtamu sanaNa dona Tena?
Wacha niwashauri wananchi wa huku wapike Kama hivyo jioni ili kesho nipate walau wgonjwa wa kuharisha nipate hela ya ulanzi .
ThanksNimejikuta nahangaika huku hata sijui natafuta nini maana msosi umenipagawisha kwakweli,hongera sana kwa ufundi huu wa mapishi.
Mzee Kishmundu a.k.a mzee wa Kisusio😂Mtafute Sande Temba ufanye naye kipindi cha Mapishi ITV.
Tunaishi maramoja tumkuu punguza matumizi ya peanut butter ubonge utakuandama
Upo mrembo☺️Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Hujawahi kuwa serious🤣🤣