Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Halichachi wala haliozi wala halipashwi moto...
Sijawahi kuelewa kwa nini huwa alipashwi moto na halichachi..

Na linavyozidi kukaa ndiyo linazidi kuwa tamu🀣🀣🀣
 
Kanda ya ziwa ni chai tu ndo hatuwekei karanga 🀣🀣🀣 hata wali ukikaa vibaya tunaunga na karanga.
Watoto wa pwani hawa wamezoea nazi na binzali Ila uende kwa mnyamwezi akupikie nsasa na hizi dagaa halafu useme hajui kupika. Mdomo wako lazma uwe na shida
 
Hawajuhi utamu wake
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hata Mimi choroko sizielewag kabisa
 
Hawajuhi utamu wake
Mtu anaeshangaa dagaa kuwekwa nyanya chungu na bamia. Bila shaka hajawahi kukanyaga kanda ya ziwa na hata dsm uswazi hajawahi kuishi maana huko hata nyama nusu inawekewa bamia na nyanya chungu ili mboga itoshe hadi usiku 😁😁..

Umejitahidi, hapo mchawi ni ugali laini tu uliomixiwa na unga wa muhogo
 
Kiufupi dagaa nyasa huwa nawakaanga kwanza theni naunga nyanya na kitunguu kwa juu(hoho huwa sipendi natupa kule) then nafunika nakuja nageuza inakuwa IMEISHAAA HIYOOOO kwani ugali uko wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au sweery babe unasemajeee?
 
Kunde, nyanya chungu aisee tupa kuleeee
 
Unamaanisha huwa huoshi dagaa vizuri
Ukiosha dagaa vizuri wakitakata lazima vichwa vyote visePE
dagaa wa mwanza wana michanga ndio maana wanaondolewa kichwa Ila wa bukoba huwa wasafi. Hawaondolewi vichwa miss ephe , usishangae sana nimekulia kanda ya ziwa 😁😁
 
Kula nyanya chungu zinasaidia kwenye memory na akili inakuwa sharp 😁😁
Daaah huwa nikila nahisi mwili unasisimkaa inavopita kwenye koo kuelekea tumboniii πŸ˜ŠπŸ™ŒπŸ˜¬πŸ˜¬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…