Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Ila bhana kuna kitu kinaitwa Ngararimo... Uamke asubuhi ugonge na chai. Mchana kutwa kazi yako ni kunywa maji tu...
Ila Babu.🤣🤣🤣
Naijua vyema sana...
Linachemshiwa kwenye chungu....Linakaa huko jikoni hata wiki...Ni kula tu😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona huyo anayekula Mtori kitafunio ndizi cha kuchemsha ni mimi kabisa Babu....

Au umeniona?🤣
Nilishangaa sana nilipofika Dar na kuona watu wanakula mtori na chapati. Yaani wamefanya mtori ni kama supu. Hii ni kwa sababu quality ya mtori wa Dar siyo nzuri. Ukipikiwa na mchaga anayejua, mtori huhitaji tena kitafunio cha ziada.
 
😂😂😂 me wa hapo daslam tu, sipen michuzi ya maji maji yan mchuzi mwaaa nyama chini hapana na niko hivo nikiingia jikoni kama naenda sehem ina familia always mchuzi hautoshi kwenye tembea tembea nikakuta mtu anapika makande ya karanga nilistaajabu sjawah kuona
Je kabichi la karanga ushawahi Kula once ukila utaipandisha cheo kabichi kutoka kwenye kachumbari mpaka mboga
 
Dagaa ikishakua na mchuzi kwangu haipandi kabisa , napenda zikaangwe nipige na ugali bila mchuzi .
Hujakutana na mafundi tu mkuu. Hata hiyo roast iliyopikwa hapo naona wengi hawajawahi kuila ndio maana wanadhani itakuwa imedodekwa karanga hadi ikakureketa kooni.

Nishapikiwa hivyo na sister mmoja wa kanda ya ziwa. Mchuzi unakuwa mzito na bila kuambiwa huwezi kusikia ile ladha ya karanga kabisaa
 
Nilishangaa sana nilipofika Dar na kuona watu wanakula mtori na chapati. Yaani wamefanya mtori ni kama supu. Hii ni kwa sababu quality ya mtori wa Dar siyo nzuri. Ukipikiwa na mchaga anayejua, mtori huhitaji tena kitafunio cha ziada.
Kabisa...
Mimi mtori na chapati siwezi...Ajabu nikila na ndizi wananishangaa😅
Mitori ya mjini wanachemsha halafu unasagwa kwenye blander...kitu sijawahi kuona....nimeonea huku mjini....
 
Back
Top Bottom