Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee....Watu wengi wanasema hivo ila mimjmara 100 choroko kuliko maharage
Ahahah kama mimi tu, yan ndizi nimeanzaa kula baada ya kuoa, mke wangu anazipika kama mchawi vile. Niseme ukwel, mama angu anaoika sana ila kwenye suala la ndiz, mke wangu anazijulia mnoooooKuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka
Akhahahahah choroka hata mimi hunilishi mpaka leo, siku ya choroko haoni mtu😁 Makiwendo
Maharage ya ukweli sana pamoja na njegere haswa kwa waliAiseeee....
Hongera basi...Mimi maharage kila siku nitakula...
Ila Choroko hata waweke nazi aje...Nitakula Wali mkavu😃
Mama yangu alikuwa anasema Chakula chochote kinachopikwa nyumbani kwake lazima kiliwe...Na wamama wa kichaga wa sifa sana 😢
Mama alikua anacheza na ndizi maharage na Choroko tu , mpaka mzee aje ndio mambo yanatuendea vizuri😁Mama yangu alikuwa anasema Chakula chochote kinachopikwa nyumbani kwake lazima kiliwe...
Siyo unakuja kwenda kwa watu unakuta wanapika chakula ulichokuwa unakataa kula kwenu halafu unaishia kusema unateswa...😀
Choroko zinawekwa nazi. Magonjwa mengine tunajitafutia wenyewe...Aiseeee....
Hongera basi...Mimi maharage kila siku nitakula...
Ila Choroko hata waweke nazi aje...Nitakula Wali mkavu😃
Una mwiliwa kibabe sana, huo ni uzito mzuri wa wastani kabisa...achana na sisi tushakuwa overweight na ufupi wetu.
Toa dagaa humo ndio msosi niliolia nguna leo.Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Hata supu tunaweka peanut na ni tamu balaa 😅 I miss home sweet home🤣🤣🤣🤣🤣🤣kumbee
😁😁Una mwiliwa kibabe sana, huo ni uzito mzuri wa wastani kabisa...achana na sisi tushakuwa overweight na ufupi wetu.
Na hiv Sina D mbili 😃Uje "without" kabisa...
Hakuna kupoteza muda.
Nakunywa K Vant hapa. Tafadhali tusipeane majaribu ya kuzuia kutapika mbele za watu...Hata supu ultunaweka peanut na ni tamu balaa 😅 I miss home sweet home
Nitajaribu hiyoNzur sana
Na Cuba hujawahi kufika... Dah!Na hiv Sina D mbili 😃
Ndio kabisaNa Cuba hujawahi kufika... Dah!
Umenichekesha msibani we mtoto. Na hivi nimetoka kununua kabajaji waombolezaji hawachelewi kusema nimemtoa kafara marehemu....Sawa Babu..!!!
Umewahi kula kiburu cha nazi?😅