Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Kuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka
Ahahah kama mimi tu, yan ndizi nimeanzaa kula baada ya kuoa, mke wangu anazipika kama mchawi vile. Niseme ukwel, mama angu anaoika sana ila kwenye suala la ndiz, mke wangu anazijulia mnooooo
, siku ya choroko haoni mtu😁 Makiwendo
Akhahahahah choroka hata mimi hunilishi mpaka leo
 
Na wamama wa kichaga wa sifa sana 😢
Mama yangu alikuwa anasema Chakula chochote kinachopikwa nyumbani kwake lazima kiliwe...

Siyo unakuja kwenda kwa watu unakuta wanapika chakula ulichokuwa unakataa kula kwenu halafu unaishia kusema unateswa...😀
 
Mama alikua anacheza na ndizi maharage na Choroko tu , mpaka mzee aje ndio mambo yanatuendea vizuri😁
 
Back
Top Bottom