Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kwan wanaume nao si wale jamni ziuzikeTatizo siku hizi wanawake hawapendi bamia ndio maana zinashuka bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wanaume nao si wale jamni ziuzikeTatizo siku hizi wanawake hawapendi bamia ndio maana zinashuka bei.
Una kilo ngapi,?Nipo kawaida tu mtani , kwenye vyakula huwa napenda zaidi vikavu au vya kuchemsha na mboga za majani, ila nikishaona mafuta tu hamu ya kula inakata.
75Una kilo ngapi,?
Sio kweli 😀
Wewe una ngapiSio kweli 😀
Unataka mwili wa nini ? Kama unataka mwili piga bia mbili kila siku na supu ya mchemsho😁Bila kusahau linaongeza mwili☺️
Tatizo wapishi ni wanawake wasiozipenda.Kwan wanaume nao si wale jamni ziuzike
Dah! Nikajua upo kwenye 70 au 80 huko sio kwa lile shavu☺️
Kumbe ndio wewe nimekuona fb ukojuuDagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Kilo nilizonazo sasa hivi bado 5 nifike kwenye kg zangu ninazozipenda nimepungua sanaUnataka mwili wa nini ? Kama unataka mwili piga bia mbili kila siku na supu ya mchemsho😁
Sikuwa na mpango wa kucheka leo 😂😂😂😂
Kumbe we ni kipotabo...
😁😁 ukitulia vizuri unaweza kuwa mgunduzi mkubwa mkuu.
Hongera sana😃😃Picha ya zamani
Nilikuwa na 75 nikapungua now 64 nimekuwa kisichana mwaya🤣🤣
Shikamoo Babu, Nimekumisipo sana.binti kiziwi hapo juu nakuona unanigongea LIKE kimyakimya tu....
Matango Tena 😀Tatizo wapishi ni wanawake wasiozipenda.
Wangekuwa wanazipenda kama wanavyopenda matango mbona zingepata bei nzuri tu?
Nyie mashosti uzi wetu wa vibamia mmeuchakachua mpaka hamu ya kula ugali na sotojo la dagaa imepotea ghafla..Hongera sana
Kwanini unapigia debe vibamia?Nyie mashosti uzi wetu wa vibamia mmeuchakachua mpaka hamu ya kula ugali na sotojo la dagaa imepotea ghafla..
Acha nichakachuane na K Vant sasa...