Mitamu mno...Mimi migebuka napenda ngozi yake๐ sijisikii raha kula bila ngozi
Hahahahaha, uko vzr swahibaMigebuka mitamu mno...
Unavijua Vibambala Eve?
Wanabei sanaMitamu mno...
Mimi huwa napenda wakaangwe...
Hiyo sombe ni tamu sanaaa! Mimi huwa nikimiss kuna nyumba naenda nakula hadi vidole๐Hahahahaha, unanikumbusha mbali sana
Kesho napika๐Wanabei sana
Ndiyo....Bei yake imechangamka kidogoWanabei sana
Kubadili avatar๐๐๐๐
Nitafurahi sana ukinipakulia ๐Kesho napika๐
Khaaaaaaaaa!๐Umewahi changanya dagaa na mlenda?....weeeh,ni mboga nzuri hatari!!
Mbona ipo vilevileKubadili avatar๐
Sikuhiz chapat zinanitii kiasChapati umezitoa vzur
Mashallah ๐๐ hongera sanaSikuhiz chapat zinanitii kias
acha utani hio nakula kama salad ya kulilia pilau au kachori na mihogo ukitaka nile labda uichanganye na nyamaJe kabichi la karanga ushawahi Kula once ukila utaipandisha cheo kabichi kutoka kwenye kachumbari mpaka mboga
Mbona hutulii sasa?๐คMbona ipo vilevile
unafikiri utapata wakufanananae..??Ulinisaidia sana kutokunioa๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Haina chaji ๐Mbona hutulii sasa?๐ค
Ewaaaaahhh vibambala ๐๐๐ ugali wa udaga aloooohMigebuka mitamu mno...
Unavijua Vibambala Eve?
Wachaaa....Navipenda mnoEwaaaaahhh vibambala ๐๐๐ ugali wa udaga alooooh
hayo ni matumizi mabaya ya peanut butter trust meNaweka peanut butter kwenye mboga za majani kama spinach....pia naweka kwenye mihogo ๐คฃ