Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Mitamu mno...Mimi migebuka napenda ngozi yake😋 sijisikii raha kula bila ngozi
Mimi huwa napenda wakaangwe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitamu mno...Mimi migebuka napenda ngozi yake😋 sijisikii raha kula bila ngozi
Hahahahaha, uko vzr swahibaMigebuka mitamu mno...
Unavijua Vibambala Eve?
Wanabei sanaMitamu mno...
Mimi huwa napenda wakaangwe...
Hiyo sombe ni tamu sanaaa! Mimi huwa nikimiss kuna nyumba naenda nakula hadi vidole😋Hahahahaha, unanikumbusha mbali sana
Kesho napika🙌Wanabei sana
Ndiyo....Bei yake imechangamka kidogoWanabei sana
Kubadili avatar😎
Nitafurahi sana ukinipakulia 😎Kesho napika🙌
Khaaaaaaaaa!🙄Umewahi changanya dagaa na mlenda?....weeeh,ni mboga nzuri hatari!!
Mbona ipo vilevileKubadili avatar😎
Sikuhiz chapat zinanitii kiasChapati umezitoa vzur
Mashallah 😎😍 hongera sanaSikuhiz chapat zinanitii kias
acha utani hio nakula kama salad ya kulilia pilau au kachori na mihogo ukitaka nile labda uichanganye na nyamaJe kabichi la karanga ushawahi Kula once ukila utaipandisha cheo kabichi kutoka kwenye kachumbari mpaka mboga
Mbona hutulii sasa?🤔Mbona ipo vilevile
unafikiri utapata wakufanananae..??Ulinisaidia sana kutokunioa🤣🤣🤣
Haina chaji 😎Mbona hutulii sasa?🤔
Ewaaaaahhh vibambala 😋😋😋 ugali wa udaga aloooohMigebuka mitamu mno...
Unavijua Vibambala Eve?
Wachaaa....Navipenda mnoEwaaaaahhh vibambala 😋😋😋 ugali wa udaga alooooh
hayo ni matumizi mabaya ya peanut butter trust meNaweka peanut butter kwenye mboga za majani kama spinach....pia naweka kwenye mihogo 🤣