Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mama mwana wa mbagalanan
i
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama mwana wa mbagalanan
i
Nimeukumbuka mchembe ghafla 😁😁Pwani spices sana na nazi kwa wingi.
Kanda ya ziwa karanga tu yatosha 🤣🤣 hiyohiyo inapika nyama, kuku samaki, dagaa yani hadi rahaa
Ukitaka uzikaange tu na viazi vitamu (numbu) na mtindi oooh haleluyah
Hii ni kali Ila nakubali ni mazoea tu😁😁😁😁Wewe umezoea hivyo hata mimi ikipikwa na mhaya naona ni mbaya na haina ladha ni kutokana na mazoea tu nafikiri
Yeah mapishi tofauti tofauti!
Michembe na chai ya maziwaNimeukumbuka mchembe ghafla 😁😁
Acha kabisa 🤣🤣🤣kwenye amani lumechangamka leo soy sauce na peanut butter kwa juu si mchezo
🤣🤣🤣🤣🤣Ndio mnajamba mashuzi yanayonuka hovyo, sasa mchanganyiko wote huo wa nini..?
Nimekaa huko wakati fulani😅Nawe ni homegirl nkajuaga ni manka 😃
🤣🤣🤣🤣🤣hayo ni matumizi mabaya ya peanut butter trust me
Ukimaliza hapo unalala usingizi wa hatarivipi kiporo cha wali nazi na harage nazi nipate na chai ya rangi lazima nikila nivue had sidiria siwez kubanwa wakat nakula kitu napenda
Hatari na matovolwa 🔥Michembe na chai ya maziwa
Kuna mbute pia.
ndoa wa kumi talaka wa kumi na moja wewe ni zimwi nalolijua ati!Nishampata subiri tukualike kwenye ndoa yetu mwezi wa 10🤣
🤣🤣😂😂Sjui na mm nitapataka mke anaejua kupik
Duh Ila Mafuta mengi sana aiseee….Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Chombo ulichopikiaDagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Babe dagaa habana kwa kweli 😭sipendagiKiufupi dagaa nyasa huwa nawakaanga kwanza theni naunga nyanya na kitunguu kwa juu(hoho huwa sipendi natupa kule) then nafunika nakuja nageuza inakuwa IMEISHAAA HIYOOOO kwani ugali uko wapi? 😂😂😂😂
Au sweery babe unasemajeee?
😂😂😂nicheke nikonde! Utasubiri sana we baba.ndoa wa kumi talaka wa kumi na moja wewe ni zimwi nalolijua ati!
Tenaaa? Sasa unapendelea nn AngelBabe dagaa habana kwa kweli 😭sipendagi