Pitza 💅😋Tenaaa? Sasa unapendelea nn Angel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitza 💅😋Tenaaa? Sasa unapendelea nn Angel
Unapenda ugali love?Kunde, nyanya chungu aisee tupa kuleeee
Sanaaa than rice vp ww darlingUnapenda ugali love?
Sasa pizza unashiba kweli?Pitza 💅😋
Endelea kushabikia misisiem magamba hapo lumumba kumbaf. Siku wasipokupeni hela ya mihogo uwe unasema nikuelekeze kwa wifi yako angalau ukale chakula.Mi sijaona msosi mchana wa leo nimepiga freekick
Hii aina ya upishi wakuweka karanga/peanut butter kwenye vyakula niliuona kanda ya ziwa asee. Kaskazini sikuwahi kuona tokea utotoni mpaka nakuwa.Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Ndio na cocaSasa pizza unashiba kweli?
Daah aisee wakishua nn kipnzNdio na coca
Twenzetu kwenye uzi husika babe apa tunawaharibia watu uzi wao 😂😂Ndio na coca
Apa vidole hua nakata kwa kulamba tena nipike Mimi mwenyewe🤣🤣🤣Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
😍🤣🤣🤣ila nasinziaTwenzetu kwenye uzi husika babe apa tunawaharibia watu uzi wao 😂😂
Hahaha wala babeDaah aisee wakishua nn kipnz
Unakuja usiku mno dear thus why unasinziaa?😍🤣🤣🤣ila nasinzia
Mchana mishemishe mpenzi 😄Unakuja usiku mno dear thus why unasinziaa?
Ana wivuDjango doer mbona unakasirika shida nn mzee
Nafahamu dear saaf mke mpambanajMchana mishemishe mpenzi 😄
😁😁😁😁 Unajua kuwa sweery ni multiple I'd ya nani? Shauri zako ukikutana na janaume lenye busha 🤣🤣Django doer mbona unakasirika shida nn mzee