Pitza π πTenaaa? Sasa unapendelea nn Angel
Unapenda ugali love?Kunde, nyanya chungu aisee tupa kuleeee
Sanaaa than rice vp ww darlingUnapenda ugali love?
Sasa pizza unashiba kweli?Pitza π π
Endelea kushabikia misisiem magamba hapo lumumba kumbaf. Siku wasipokupeni hela ya mihogo uwe unasema nikuelekeze kwa wifi yako angalau ukale chakula.Mi sijaona msosi mchana wa leo nimepiga freekick
Hii aina ya upishi wakuweka karanga/peanut butter kwenye vyakula niliuona kanda ya ziwa asee. Kaskazini sikuwahi kuona tokea utotoni mpaka nakuwa.Peanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Ndio na cocaSasa pizza unashiba kweli?
Daah aisee wakishua nn kipnzNdio na coca
Twenzetu kwenye uzi husika babe apa tunawaharibia watu uzi wao ππNdio na coca
Apa vidole hua nakata kwa kulamba tena nipike Mimi mwenyeweπ€£π€£π€£Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
ππ€£π€£π€£ila nasinziaTwenzetu kwenye uzi husika babe apa tunawaharibia watu uzi wao ππ
Hahaha wala babeDaah aisee wakishua nn kipnz
Unakuja usiku mno dear thus why unasinziaa?ππ€£π€£π€£ila nasinzia
Mchana mishemishe mpenzi πUnakuja usiku mno dear thus why unasinziaa?
Ana wivuDjango doer mbona unakasirika shida nn mzee
Nafahamu dear saaf mke mpambanajMchana mishemishe mpenzi π
ππππ Unajua kuwa sweery ni multiple I'd ya nani? Shauri zako ukikutana na janaume lenye busha π€£π€£Django doer mbona unakasirika shida nn mzee