Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Keep it up....Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep it up....Dagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Ila ndizi bukoba ni mara chache kukutana na watu wameipika vizuri kuliko inavyopikwa na wahaya wanaojua kupika. Nimepita sehemu nyingi sana including dar, Ila wengi naona ule ulaini wake huwa wanaichukulia kama rahisi kupika mwisho wa siku inatoka vibaya.Uzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.
Wa nyumbani kabisa 😅Yaani wewe ni mwenyewe 🤣🤣
Wewe umezoea hivyo hata mimi ikipikwa na mhaya naona ni mbaya na haina ladha ni kutokana na mazoea tu nafikiriIla ndizi bukoba ni mara chache kukutana na watu wameipika vizuri kuliko inavyopikwa na wahaya wanaojua kupika. Nimepita sehemu nyingi sana including dar, Ila wengi naona ule ulaini wake huwa wanaichukulia kama rahisi kupika mwisho wa siku inatoka vibaya.
Ndizi flani ya bukoba inaelea kwenye mchuzi huku imekatika katika 😁😁
Pwani spices sana na nazi kwa wingi.Ndio wapwani huwa wanawasema hamjui kupika 😁.. Ila kwangu huwa naona wao wamezoea spices nyingi sana tofauti na sisi ndio maana binafsi ile roast ya biriani huwa inanishinda
😃😃Ila jamniNiitaka uje unipikie; ila kwa kuwa vitunguu havijaiva, na dagaa umewapika na vichwa vyake, usije tu
Ukimaliza hapo ni kuweka glass ya maji karibuSasa hapa, nitolee chapati niwekee ndizi mshale na parachichi😋
Nitajaribu nami nione 😀😀Kuku, samaki, ng'ombe.....vyote vinapigwa karanga 🤣🤣🤣 na ni vitamu yani
Kama hujatoka kwenye mikoa wanayolima karanga utashangaa, lakini karanga kwenye dagaa ndiyo mafuta hayoPeanut butter kwenye dagaa?! Kweli kuna aina nyingi za mapishi
Kama wewe ni fundi wa kupika vizuri, karibu jikoni 😀; dagaa wanatakiwa wapikwe kwenye chungu ili kupata ladha bora😃😃Ila jamni
Nilikula kisamvu Cha karanga nilitamni kutema 😃Yani kinatia kinyaa kimehorojeka nikajikaza mwenzangu akashindwa kula 😀Pwani spices sana na nazi kwa wingi.
Kanda ya ziwa karanga tu yatosha 🤣🤣 hiyohiyo inapika nyama, kuku samaki, dagaa yani hadi rahaa
Ukitaka uzikaange tu na viazi vitamu (numbu) na mtindi oooh haleluyah
Mzee wa ndizi mshaleUzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.
Mno mkuuMzee wa ndizi mshale
Mpishi alipika vibaya kwakweli mie kisamvu bila karanga sili, majani ya kunde pia bila karanga sili....Nilikula kisamvu Cha karanga nilitamni kutema 😃Yani kinatia kinyaa kimehorojeka nikajikaza mwenzangu akashindwa kula 😀
Nikakuta sehemu nyingine kitam tu nikagundua mpishi wa kwanza alizidisha karanga sana inabid ziwe Kwa kiasi
Daaah 🏃 🏃 🏃 🏃Mm mmojawapo naipenda mno
Nilipika na chapat aisee noma View attachment 3076590
Chungu kinaraha yake nimenunua hiv karibuni Cha kiswahili buku 3 tu 😂Kama wewe ni fundi wa kupika vizuri, karibu jikoni 😀; dagaa wanatakiwa wapikwe kwenye chungu ili kupataladha bora
Mimi nakula kisamvu cha aina yeyote Cc ephen_Mpishi alipika vibaya kwakweli mie kisamvu bila karanga sili, majani kunde pia bila karanga sili....
Karanga ni nzuri mm makande uweke peanut aisee nayaelewaMpishi alipika vibaya kwakweli mie kisamvu bila karanga sili, majani kunde pia bila karanga sili....
Zikichanganywa na nyama ya mbuzi zinakuwa tamu sanaMno mkuu