Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Uzuri mmoja moshi kuna kila aina ya mapishi ya ndizi na ndizi zipo za aina zote hata hizo bukoba zinapikwa na ,zipo za kutosha.
Ila ndizi bukoba ni mara chache kukutana na watu wameipika vizuri kuliko inavyopikwa na wahaya wanaojua kupika. Nimepita sehemu nyingi sana including dar, Ila wengi naona ule ulaini wake huwa wanaichukulia kama rahisi kupika mwisho wa siku inatoka vibaya.

Ndizi flani ya bukoba inaelea kwenye mchuzi huku imekatika katika 😁😁
 
Wewe umezoea hivyo hata mimi ikipikwa na mhaya naona ni mbaya na haina ladha ni kutokana na mazoea tu nafikiri
 
Ndio wapwani huwa wanawasema hamjui kupika 😁.. Ila kwangu huwa naona wao wamezoea spices nyingi sana tofauti na sisi ndio maana binafsi ile roast ya biriani huwa inanishinda
Pwani spices sana na nazi kwa wingi.

Kanda ya ziwa karanga tu yatosha 🤣🤣 hiyohiyo inapika nyama, kuku samaki, dagaa yani hadi rahaa

Ukitaka uzikaange tu na viazi vitamu (numbu) na mtindi oooh haleluyah
 
Nilikula kisamvu Cha karanga nilitamni kutema 😃Yani kinatia kinyaa kimehorojeka nikajikaza mwenzangu akashindwa kula 😀

Nikakuta sehemu nyingine kitam tu nikagundua mpishi wa kwanza alizidisha karanga sana inabid ziwe Kwa kiasi
 
Mpishi alipika vibaya kwakweli mie kisamvu bila karanga sili, majani ya kunde pia bila karanga sili....
 
Back
Top Bottom