kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Moja kati ya swali la msingi unalotakiwa kujiuliza ni kuhusu mwisho wako hapa Duniani.
Unajua ni lini au ni namna gani utaondoka? Umejiandaaje?
Maandalizi mazuri zaidi ni kurekebisha njia zako na kuishi kama Mungu anavyotaka bila kusahau jamii na sheria za nchi zinataka nini.
Kuishi kama Mungu anavyotaka kutakusaidia uwe na ujasiri wa kutokuuogopa mwisho na kuwa tayali kuupokea muda wowote.
Usisahau kuwa, baada ya kifo ni hukumu.