Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

Umewahi kujiuliza jinsi mwisho wako hapa Duniani utakavyokuwa? Umejipangaje kuupokea?

Hakuna cha hukumu wala nini, ni kawaida ya binadamu ku-complicate mambo kwa kujifanya special zaidi,...MUNGU hayupo wala shetani,..maana wameshindwa kujidhihirisha uwepo wao kwa binadamu, so dini zimebaki kuwa blah blah zisizokuwa na uthibitisho,....kwa ufupi kama afavyo sisimizi, au chura na binadamu ndivyo utakavyo kufa,....kama sisimizi ataenda kuhukumiwa basi na wewe, binadamu utahukumiwa,.......just live
Kama Mungu hayupo, niambie ni nani aliyeumba dunia, lakini pia nambie ni nani alipangilia hiyo mifumo ya mwili wako kuwa hivyo ilivyo, pia niambie ni ilikuaje binadamu akawa na akili kubwa kuliko makundi mengine ya wanyama?
 
Mwisho wangu hauna maana yeyote kwangu.

Na kuanza kufikiria hivyo inabaki kuwa ni jambo la kijinga tu.
 
Kama Mungu hayupo, niambie ni nani aliyeumba dunia, lakini pia nambie ni nani alipangilia hiyo mifumo ya mwili wako kuwa hivyo ilivyo, pia niambie ni ilikuaje binadamu akawa na akili kubwa kuliko makundi mengine ya wanyama?
kwani unauhakika upi kama dunia iliumbwa?.....
Hata sokwe ana akili kubwa sana kuliko kenge,...
kwanini huyo MUNGU anajificha, na sio kuja kuuthibitishia ulimwengu kuwa yupo?.....
 
Back
Top Bottom