kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Shida ni kwamba akuna aliyekufa na akarudi kwa hiyo atuwezi jua tuna ondoka lini mkuu kuhusu hukumu sio kweli
utakufa mdomo waziMm nataka kinikute nikiwa juu ya kifua cha lishangazi langu
anaejua ukweli wa njia zake ni mtu mwenyeweNashangaa sana mtu anahangaika na gharama na mateso ya duniani wakati ana Jumba la kifahari mbinguni, ana uzima wa milele mbinguni halafu anahangaika na matibabu duniani.
Ona Papa Francis anahangaika na kuokoa maisha yake, kama kuna uzima wa milele mbinguni kwanini asiende?
Ukishindwa kula bata hapa duniani basi sahau kwamba eti kuna sehemu utaenda ufutwe machozi.
Ukiumwa kama papa, hutojihangaikia tutakuhangaikia kwasababu uwezo upo. Hamna binadamu atakuacha ufe kama mwizi. Binadamu hatuna roho mbaya hivo. Ndio maana ukifa tunasema Mungu amekupenda zaidi.Nashangaa sana mtu anahangaika na gharama na mateso ya duniani wakati ana Jumba la kifahari mbinguni, ana uzima wa milele mbinguni halafu anahangaika na matibabu duniani.
Ona Papa Francis anahangaika na kuokoa maisha yake, kama kuna uzima wa milele mbinguni kwanini asiende?
Ukishindwa kula bata hapa duniani basi sahau kwamba eti kuna sehemu utaenda ufutwe machozi.
naona lishangazi likitangulia, soon tutakupoteza na wewe,..maana utaumia kupitikiza...🤣🤣Mm nataka kinikute nikiwa juu ya kifua cha lishangazi langu
Baada ya Mbowe na Lema kufia juu ya vifua, sasa ni zamu ya Mbaga Jr ! RIP.Mm nataka kinikute nikiwa juu ya kifua cha lishangazi langu
Sponsor wangu akifa ntaumia Sana aiseenaona lishangazi likitangulia, soon tutakupoteza na wewe,..maana utaumia kupitikiza...🤣🤣
HapanaWewe ni shahidi wa Yehova?